38
1. Nilikwenda mbali sana, ‘kufuata njia mbaya, nikamsahau Yesu anayenipenda sana.
Pambio:
Nina raha na furaha, Yesu alinitafuta, akaniokoa kweli, mimi wake siku zote.
2. Na sikufikiri siku nitakapodhihirishwa mbele ya Mwenyezi Mungu, na kuhukumiwa naye.
3. Dhambi zilinichokesha, nikageukia Mungu, akasema neno nzuri la amani na furaha.
Original Version:
Modified Version:

Leave a Reply