1 E’YESU mshindaji wa Golgotha

1. E’ Yesus, Mshindaji wa Golgotha, twakusifu!
Bendera ya mapenzi ni Alama ya Kushinda.
Ulichukua dhambi zetu juu ya msalaba wako.
Twakuhimidi, Bwana na Mfalme! Haleluya!

 

2. Twashinda na zaidi ya Kushinda Kati’ yote Kwa
damu yako, Yesu, na Watuinua moyo .
Katika vita na ‘jaribu Twaipeleka kwa Furaha
Bendera yako nzuri ya Kushinda kati’ vita.

 

3. Mbinguni Mkombozi ni Mkuu mwenye sifa.
Aliondoa dhambi kwa Kutufilia wote.
Mwana-Kondoo wake Mungu, Umestahili
kupokea Uweza, utukufu na Heshima.
Heleluya!


Comments

2 responses to “1 E’YESU mshindaji wa Golgotha”

  1. Audio Avatar
    Audio

    Tunaitaji audio za ku downkoad

  2. Benjamin Belous Avatar
    Benjamin Belous

    Sauti mbaya saana sio ndiyo sauti ya wimbo huu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

HTML Snippets Powered By : XYZScripts.com