Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

138 SASA tayari kwetu siku yakuokoka

1. Sasa tayari kwetu siku ya kuokoka, Yesu alitimiza yote msalabani. Wengi wanamjia Yesu Mwokozi wao, wapate kustarehe, wapone nafsi zao. Pambio: Mwana-kondo’...

143 HERI alisi

1. Heri halisi, Yesu ni wangu! Yeye mchunga, mimi ni wake. Heri yakini, yote ni heri, roho na moyo zimeokoka. Pambio: Yesu ni wimbo na raha yangu, nitamsifu hata...

145 MUNGU wangu mkuu

1. Mungu wangu mkuu, wanijaza mwenyewe, na uzima u katika wewe. Nina raha moyoni na amani halisi, ninaishi katika upendo.   2. Sasa ninakusifu wewe, Yesu Mwokozi,...

148 NGUVU ile ilishuka juu’ya wanafunzi

1. Nguvu ile ilishuka ju’ ya wanafunzi wote mjini mwa Yerusalem’ siku ya Pentekoste, lo! Nguvu hiyo ya Mwokozi ni sawa leo; shukuru Mungu! :/: Karama,...

158 HERI mtu anayeamini Mungu baba

 158 1. Heri mtu anayeamini Mungu Baba na Yesu Mwokozi! Heri mtu aifuataye njia nzuri ‘endayo mbinguni! Pambio: Usifiwe, Yesu Kristo! U Mwokozi mzuri kabisa!...

171 MWENYEZI Mungu ngome kuu

 171 1. Mwenyezi Mungu ngome kuu, silaha ya imara! Katika shida na huzuni twategemea yeye. Mwovu akitukaribia kututia woga, akijithibitisha kwa hila na jeuri, tusimwogope...

208 PIGA makengele ya furaha leo kwa sababu mutu ametubu

208 1. Piga makengele ya furaha leo kwa sababu mtu ametubu! Mwana mpotevu amerudi sasa, baba amemsamehe yote.   2.Nyimbo za furaha ya mbinguni, Nyimbo za furaha...

215 MWENYEZI Mungu anafanya ishara kubwa Duniani

215 1. Mwenyezi Mungu anafanya ishara kubwa duniani, anaondoa minyororo inayofunga watu huku. Avunja nyavu za shetani, na wakosaji waokoka.   2. Maneno yake...

246 HESHIMA na sifa zina Baba mbinguni

246 1. Heshima na sifa zina Baba mbinguni, aliyetupenda zamani na sasa! Pambio Haleluya, usifiwe! Haleluya, amina. Haleluya, usifiwa! Haleluya, amina.   2....

247 NAPENDA sana kumushukuru Mwokozi

247 1. Napenda sana kumshukuru Mwokozi wangu kwa nia huru; kwa wimbo wangu nashuhudia upedo wake na damu pia.   2. Nikishukuru mateso yake msalabani na kufa...

249 ZAMANI mjini mwa Yerusalemu

249 1. Zamani mjini mwa Yerusalemu waisrael’ waliabudu. Wakristo wa sasa wanakusanyika kuomba, kusifu Mwokozi. Pambio: Msifuni, msifuni Mungu wetu, kwani...

252 NINAKUSHUKURU Mungu kwa fadhili

252 1. Ninakushukuru Mungu kwa fadhili zako zote, kwa furaha na uchungu, kwa neema njia yote! Kwa kipupwe na masika, kwa wakati wa machozi. Na kwa raha kadhalika...

267. BABA nakuomba leo na mapema

267 1. Baba, nakuomba leo na mapema: Niongoze pote kwa mapito meme! Pambio: Baba yangu, sikiliza ombi langu leo! Baba, nakusifu! Unanisikia. 2. Nistahimilipo kazi...

278. NINAINUA macho yangu ka Mungu

278 1. Ninainua macho yangu kwa Mungu aketiye juu, aliye msaada wangu, njiani pangu nuru kuu. Aliyefanya yote, maombi huyasikia. Katika njia zangu zote atanilinda...

292. KATIKA damu takatifu

292 1. Katika damu takatifu ya Mwokozi wangu nimesafishwa. Na nguvu ya Mwokozi wangu tu yaweza kunilinda safi. Pambio: Mungu ahimidiwe, Mungu ashukuriwe kwa ajili...

295. E’FURAHENI watu wake Mungu

295 1. E’, furahini watu wake Mungu! Mwokozi wetu alituokoa. Neema kubwa, pendo la ajabu! Tusifu Mungu sana siku zote! Pambio: E’ Mungu ana mamlaka...

298. NINAO wimbo wakunifurahiya

298 1. Ninao wimbo wakunifurahisha wa Mwokozi, wa Mwokozi. Namshukuru kwa roho yote pia, Mwokozi mzuri ninaye! Pambio: Mwokozi – wimbo wangu, Mwokozi, Mwokozi!...

300. MUNGU abariki nyote

300 1. Mungu awabarikie nyote na awe pamoja nanyi! Awalinde kwa amani! Mungu n’awe nanyi siku zote! Pambio: Mungu n’awe nanyi daima hata mwisho wenu...