Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

14 MWOKOZI wangu ulikwenda juu kukaa kuumeni kwake Baba

1. MWOKOZI wangu ulikwenda juu kuumeni kwake Baba; Utakusanya sisi sote huko, Mbinguni kwako utatufikisha. :/: Makao mema wa’tulinda, Unatungoja kwake Mungu Baba....

15 MUNGU moto wako uniutumie

1. MUNGU, moto wako uniutumie, Ninangoja nguvu yako! Nipe na uzima na upendo wako, Unijaze, E’Mwokozi wangu!.   2. Teketeza usiyopenda, Nisafishe kati’...

16 YO YOTE uonayo huku katika mwendo wako

16 1. YO yote uonayo huku katika mwendo wako, Yafaa kumwambiya Yesu atakusaidia. Refrain: :/: Kwa kuwa kila aombaye Mwokozi ne’ma yake, ataokoka na hatia, na atasifu...

17 UKAE nami giza inafika!

17 1. UKAE name, giza imefika! Usiniache, Mungu, nakuomba! Unayejuwa udhaifu wangu’ Nategemea wewe, ‘kae nami   2. Maisha yangu ni mafupi sana, Uzuri wa...

18 MUNGU wetu yu karibu kututia nguvu yake

18 1. MUNGU wetu Yu karibu kututia nguvu yake. Mbingu in maghubari, Tuletee mvua saa! Refrain: Tusikie, Mungu wetu, Tubariki saa hii! Tunangoja, tunangoja, tunyeshee...

19 MUNGU tunangoja wote Roho yako ‘Takatifu

19 1. MUNGU tunangoja wote Roho yako ‘takatifu, Tunaomba kwa imani “Umtume hapa kwetu!  Refrain : Mungu wetu, Mungu wetu, Umimine Roho yako, mioyoni mwetu,...

20 BWANA Yesu uniongoze baharini huku chini

20 1. BWANA Yesu, uniongoze Baharini huku chini, Juu ya mawimbi mengi, Katika dhoruba kali! Bwana Yesu, uniongoze, Nakutegemea wewe. 2. Bwana Yesu, uniongoze, Utulize...

21 JUU ya mbingu zote

21 1. JUU ya mbingu zote, Nyota na jua pia, Hapo yafika kweli Maombi ya mwene dua. Roho ya mwana-damu yamfikia Mungu, Huko yabisha lango na kumtafuta Baba. 2. Roho...

22 YESU KRISTO bwana wangu

22 1. YESU Kristo Bwana wangu, Una amri na uwezo za kuziondoa dhambi, Na ‘takasa roho yangu. Refrain: Nitolee masamaha, ‘niokoe na jaribu, unilinde hata mwisho,...

23 NIKITAZAMA kwa imani Mwokozi wangu

23 1. NIKITAZAMA kwa imani, Mwokozi wangu, Yesu, Nawaka kwa upendo wake, Na ninavutwa kwake; Naona majeraha yake, Mikono na ubavu wake, Na humo najificha sana, Moyoni...

24 E’MUNGU mwenye kweli

1. E’Mungu mwenye kweli, nakuamini sana, maneno yako yote, milele yata dumu ‘’niite kati’ shida nitakusaidia nategemea Bwana, ahadi yako hiyo.   2....

25 MVUA yambingu unyeshe

25 1. Mvua ya mbingu unyeshe, kama ulivyo ahidi! Juu ya dunia yote inye kutubarikia! Pambio Mvua ya mbingu, mvua ya mbingu utume! Utunyeshee neema, tunakuomba,...

26 NAKUHITAJI Yesu

26 1. Nakuhitaji, Yesu, Mwokozi wangu mwema, sauti yako nzuri iniletee raha! Pambio: Nakuhitaji, Yesu, usiku na mchana! Katika sala yangu unibariki sasa!   2....

27 UNA uhodari leo wakumufwata Yesu hata ukichekwa sana

27 1. Una uhodari leo wa kumfuata Yesu, hata ukichekwa sana na kuteswa duniani?   2. Una uhodari leo kuwa mtu wake Mungu? Ukiona haya sana, kisha utaona nini?   3....

28 NINATAKA kufuata wewe

 28 1. Ninataka kufuata wewe, Yesu, siku zote, ‘kiwa katika furaha au shida na udhia. Unaponitangulia ninakuja nyuma mbio. Ninajua ni karibu Kuwasili huko...

29 UNIVUTE Yesu

29 1. Univute, Yesu, nifuate nyayo zako, ‘kiwa kwa rafiki au katika wageni, na mahali pa furaha au sikitiko; sina budi kumkaribia Yesu. Pambio: Nimfuate,...

30 TARUMBETA lake Kristo linalia pande zote

30 1. Tarumbeta lake Kristo linalia pande zote, na wakristo wote wanajipanga vita ju’ ya mahodari wa shetani. Kweli tutashinda, kwani Yesu yupo mbele. Pambio: Twende,...

31 KATIKA safari yetu kwenda huko juu tusilale usingizi

31 1. Katika safari yetu kwenda huko juu tusilale usingizi, tuwe na bidii! Pambio: Kaza mwendo tusifungwe, twende mbio tu! Yesu Kristo ni Mwokozi na Mfalme ‘kuu!   2....

32 HAPO nilikua chini katika dhambi nyingi

32 1. Hapo nilikuwa chini Katika dhambi nyingi, roho yangu iliona kufa na giza tele. Mungu alikisikia kilio changu huko, naye akanipandisha, kuniponya. Pambio: :/:...

33 HURU kama ndege bustanini

33 1. Huru kama ndege bustanini, sasa nafurahi kwa sababu Yesu ni rafiki yangu ‘kubwa; nina amani siku zote. 2. Aliniokoa na mashaka, alinipa tunu ya rehema....

34 KWA pendo lake kubwa alitafuta mimi

34 1. Kwa pendo lake kubwa alitafuta mimi, na alinichukua begani mazizini na nyimbo zao malaika zikajaza mbingu pia. Pambio: Alinitafuta, akaniokoa, akaniondoa matopeni,...

35 NIMEFIKA kwake Yesu

35 1. Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa, jua lake la neema linang’aa kila siku. Pambio: Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli. Nimekaribia Yesu,...

36 YESU ameniokowa

36 1. Yesu ameniokoa, amenipa utulivu. Kwake ninaona raha, ninataka kumsifu. Pambio: Haleluya, haleluya! Nimefika bandarini. Haleluya, haleluya! Jina lake ni mnara....

37 BWANA Yesu aliniokoa kweli

37 1. Bwana Yesu aliniokoa kweli, ninataka kufuata yeye sasa. Kila siku nimtumikie vema, yeye anipaye roho kwa neema! Pambio: Nafuata njia nzuri ya Mfalme Yesu...

38 NILIKWENDA mbali sana

38 1. Nilikwenda mbali sana, ‘kufuata njia mbaya, nikamsahau Yesu anayenipenda sana. Pambio: Nina raha na furaha, Yesu alinitafuta, akaniokoa kweli, mimi...