0
15 MUNGU moto wako uniutumie
1. MUNGU, moto wako uniutumie, Ninangoja nguvu yako! Nipe na uzima na upendo wako, Unijaze, E’Mwokozi wangu!.
2. Teketeza usiyopenda, Nisafishe kati’...
17 UKAE nami giza inafika!
17
1. UKAE name, giza imefika! Usiniache, Mungu, nakuomba! Unayejuwa udhaifu wangu’ Nategemea wewe, ‘kae nami
2. Maisha yangu ni mafupi sana, Uzuri wa...
18 MUNGU wetu yu karibu kututia nguvu yake
18
1. MUNGU wetu Yu karibu kututia nguvu yake. Mbingu in maghubari, Tuletee mvua saa!
Refrain:
Tusikie, Mungu wetu, Tubariki saa hii! Tunangoja, tunangoja, tunyeshee...
19 MUNGU tunangoja wote Roho yako ‘Takatifu
19
1. MUNGU tunangoja wote Roho yako ‘takatifu, Tunaomba kwa imani “Umtume hapa kwetu!
Refrain : Mungu wetu, Mungu wetu, Umimine Roho yako, mioyoni mwetu,...
20 BWANA Yesu uniongoze baharini huku chini
20
1. BWANA Yesu, uniongoze Baharini huku chini, Juu ya mawimbi mengi, Katika dhoruba kali! Bwana Yesu, uniongoze, Nakutegemea wewe.
2. Bwana Yesu, uniongoze, Utulize...
21 JUU ya mbingu zote
21
1. JUU ya mbingu zote, Nyota na jua pia, Hapo yafika kweli Maombi ya mwene dua. Roho ya mwana-damu yamfikia Mungu, Huko yabisha lango na kumtafuta Baba.
2. Roho...
22 YESU KRISTO bwana wangu
22
1. YESU Kristo Bwana wangu, Una amri na uwezo za kuziondoa dhambi, Na ‘takasa roho yangu.
Refrain:
Nitolee masamaha, ‘niokoe na jaribu, unilinde hata mwisho,...
23 NIKITAZAMA kwa imani Mwokozi wangu
23
1. NIKITAZAMA kwa imani, Mwokozi wangu, Yesu, Nawaka kwa upendo wake, Na ninavutwa kwake; Naona majeraha yake, Mikono na ubavu wake, Na humo najificha sana, Moyoni...
25 MVUA yambingu unyeshe
25
1. Mvua ya mbingu unyeshe, kama ulivyo ahidi! Juu ya dunia yote inye kutubarikia!
Pambio
Mvua ya mbingu, mvua ya mbingu utume! Utunyeshee neema, tunakuomba,...
26 NAKUHITAJI Yesu
26
1. Nakuhitaji, Yesu, Mwokozi wangu mwema, sauti yako nzuri iniletee raha!
Pambio:
Nakuhitaji, Yesu, usiku na mchana! Katika sala yangu unibariki sasa!
2....
56 YESU ninakutolea vyote
56
1. Yesu, ninakutolea vyote ninakuwa navyo, nikupende, nifuate wewe siku zote hapa!
Pambio:
Ninakupa vyote, ninakupa vyote, Bwana Yesu upendwaye, ninakupa vyote....
57 YESU uliye kufa kwa ajili yangu
57
1. Yesu, uliyekufa kwa ajili yangu, ninajitoa kwako, niwe mali yako! Bwana, nivute kwako, nifaamishe pendo, niwe dhabihu hai katika shukrani!
2. Yesu,...
59 YESU ninakutolea moyo na maisha yangu
59
1. Yesu, ninakutolea, moyo na maisha yangu, niwe mfuasi wako, Safi na mtakatifu.
Pambio:
:/: Mungu wangu, Mungu wangu, nitakase saa hii! :/:
2. E’...
62 MUNGU nivute kwako
62
1. Mungu, nivute kwako, karibu kwako, hata ikiwa shida ikinisukuma! Katika yote hapa ‘takuwa wimbo wangu: Mungu, nivute kwako, karibu kwako.
2....
63 YESU nivute karibu nawe
63
1. Yesu, nivute karibu nawe, ‘kiwa kwa shida, ikiwa kwa raha! Uliyekufa msalabani, :/: ‘nifaamishe upendo na ne’ma! :/:
2. Yesu, nivute,...
64 KIMYA E’moyo wangu
64
1. Kimya, e’moyo wangu, mbele za Bwana Yesu! Unahitaji sana ‘kaa daima kwake. Njia salama ipi ulimwenguni huku bila kumfuata Yesu na neno lake?
Pambio:
Uniongoze,...
109 YESU unionye tena msalaba wako
109
1. Yesu, unionye tena msalaba wako! Huo ni kisima safi chenye kusafisha.
Pambio:
Msalaba wako, Yesu, nausifu sana. Yesu, unilinde huko hata nikuone!
2.Huko...
110 MWAMBA ulio pasuka
1. Mwamba uliopasuka, ndani yako nijifiche! Maji yale, damu ile itokayo mbavu zako, iwe dawa ya kuponya roho yangu na ubaya!
2. Kazi za mikono yangu, haziwezi...
151 MWOKOZI moto safi
151
1. Mwokozi, moto safi, tunataka moto wako juu yetu! Twaomba kwako leo, Mungu: Washa moto ndani yetu, washa moto! Tazama sisi hapa leo, na tupe Roho yako, Mungu!...
162 Bwana Yesu
162
1. Bwana Yesu, uwe nami, bila wewe nina hofu, unikaribie sana, uwe kiongozi wangu!
Pambio:
Sitaona hofu tena, Yesu Kristo yu karibu. Ninataka kufuata njia...
220 YESU wewe U mchunga wetu
220
1. Yesu, wewe u mchunga wangu, twakuomba: Utulinde! Utulishe sisi kundi lako, tukashibe neno lako!
Yesu mwema, Yesu mwema, tushibishe kwa neema! Yesu mwema,...
224 YESU mwenye pendo kubwa
224
1. Yesu, mwenye pendo kubwa, usinipitie! Katika maombi yangu unibarikie!
Pambio:
Yesu, Yesu, unisikilie! Ukiwabariki wote, usinipitie!
2.Ninakiendea...
238 NIFANANISHWE nawe mwokozi
238
1. Nifananishwe nawe Mwokozi, ni haja yangu iliyo kuu. Ninakuomba, na kwa machozi, nikufuate, Bwana wa juu!
Pambio:
Nifananishwe nawe Mwokozi, mwenye upendo,...
267. BABA nakuomba leo na mapema
267
1. Baba, nakuomba leo na mapema: Niongoze pote kwa mapito meme!
Pambio:
Baba yangu, sikiliza ombi langu leo! Baba, nakusifu! Unanisikia.
2. Nistahimilipo kazi...
268. E’YESU ingia rohoni kabisa
268
1. E’ Yesu, ingia rohoni kabisa, uniweke huru nakunitakasa, nipate kushirikiana na wewe katika mateso na raha daima!
Pambio:
:/: E’ Bwana, nijaze...