0
14 MWOKOZI wangu ulikwenda juu kukaa kuumeni kwake Baba
1. MWOKOZI wangu ulikwenda juu kuumeni kwake Baba;
Utakusanya sisi sote huko, Mbinguni kwako utatufikisha.
:/: Makao mema wa’tulinda, Unatungoja kwake Mungu Baba....
73 NAJUA njia moja ya ku’fikia mbingu
73
1.Najua njia moja yakufika mbinguni, ingawa ikipita katika majaribu, lakini iendako mjini huko juu, :/: Na njia hiyo Yesu. :/:
2.Najua na amani iliyo...
88 MPONYI apitaye wote amefika hapa
88
1. Mponyi apitaye wote amefika hapa. Awaponyesha watu moyo. Yesu wa upendo.
Pambio:
Jina linalopita yote juu na chini pote pia, jina kubwa, jina jema: Yesu...
89 NAJUA jina moja zuri
89
1. Najua jina moja zuri, lapita kila jina huku, lanipa raha na amani, na jina hilo Yesu.
Pambio:
Yesu, jina zuri mno! Yesu, unapenda wote, Yesu, tunalindwa...
90 YESU Yesu jina kubwa
90
1. Yesu, Yesu, jina kubwa, nyimbo zao malaika! :/: Limekuwa ndani yangu mto wa furaha bora:/:
2.Jina lake kama nyota, linanionyesha njia. :/: Katika jaribu,...
91 YESU jina ili njema lichukuwe siku zote!
91
1. Yesu, jina hili jema, lichukue siku zote! Lina raha na faraja, lichukue uendako!
Pambio:
Jina kubwa, jina zuri la matumaini yetu! Jina kubwa, jina zuri...
92 YESU! jina ili ninapita kila jina duniani pote
92
1. Yesu! Jina hili linapita kila jina duniani pote. Yesu, Yesu! Jina hilo ni marhamu iliyomiminwa.
Pambio:
Jina hili ni lenye nguvu ya kuondoa dhambi zangu zote....
118 NI MWOKOZI mzuri ninaye
118
1. Ni Mwokozi mzuri ninaye, alikufa kunikomboa. Alitoa uzima wake kwa ajili ya watu wote.
Pambio:
Alikufa msalabani, alikufa msalabani. Kwa ajili ya dhambi zangu...
120 MSALABANI nilimuona Yesu
120
1. Msalabani nilimwona Yesu, Mwokozi wangu aliyeniponya; rohoni mwangu giza ikatoka, ninafuata Yesu sasa.
Pambio:
Nimeokoka kutoka dhambi, na siku zote ninaimba...
121 YESU nifuraha yangu
121
1. Yesu ni furaha yangu, amejaa pendo kweli. Anaweza kusimika kila mwenye udhaifu. Ananipa ujasiri, nguvu, raha na faraja. Hata nikionja kufa, Yesu ni mchunga...
122 MWOKOZI kamili ni Yesu pekee
122
1. Mwokozi kamili ni Yesu pekee, Mwokozi mzuri halisi. Katika wokovu wa Mungu mkuu ninalindwa naye kabisa.
Pambio
Katika wokovu nalindwa salama, naishi kwa...
123 MWOKOZI mzuri ninaye
123
1. Mwokozi mzuri ninaye, zamani sikumfahamu, na sasa ninamhubiri, wengine wapate kuona.
Pambio:
Wote watamwona, wote watamwona Mwokozi mzuri ninaye; Lo! Wote...
128 NINA rafiki mwema
128
1. Nina rafiki mwema, naye alinifilia; alinivuta kwake na amenifanya mpya. Ni mali yake Yesu tu, ninaongozwa naye, alikomboa mimi kwa agano la upendo.
2.Nina...
132 YESU mwokozi unanipenda
1. Yesu Mwokozi, unanipenda, na pendo lako ni kubwa kabisa. Ulinivuta karibu nawa, Mimi ni wako daima dawamu.
2. Yesu Mwokozi, unanipenda, na pendo lako...
167 NINAJUA Rafiki mwema
167
1. Ninajua rafiki mwema, anitunza sana kila siku. Ayaponya majeraha na machozi ayafuta. Jina lake ni Yesu Kristo.
Pambio:
Najua rafiki mwema, na yeye ajaa...
177 NIPE habari ya Yesu
177
1. Nipe habari ya Yesu, uiandike rohoni! Uniimbie zaburi ya kumsifu Mwokozi, sifa iliyotangazwa na malaika zamani: Mungu wa ju’ atukuzwe, iwe amani duniani!...
192 SAUTI moja iliniuliza
192
1. Sauti moja iliniuliza: ” Wajua nilikufanyia nini? :/: Kwa’jili yako niliteswa sana; ufike kwangu, kwani nakupenda! ” :/:
2. ”...
219 HATUMUJUI rafiki mwema
219
1. Hatumjui rafiki mwema, ila Yesu, ila Yesu; yeye mwenyewe atufahamu, yeye Bwana peke yake.
Pambio:
Yesu anatujua, pia Yesu anatuonya njia. Yesu rafiki kupita...
240 NAVUTWA kwake Yesu na ninamufurahiya
240
1. Navutwa kwake Yesu na ninamfurahia, uzuri wake unapita vyote vya dunia. Siwezi kuupima kweli kwa fikara zangu. Uzuri wake unazidi kuwa bora kwangu!
Siwezi...
280. JINA lake Yesu linadumu
280
1. Jina lake Yesu Kristo linadumu siku zote; jina hili la milele haliwezi kunyauka; linafaa watu wote, na wazee na vijana; linaweza kuongoza kila mtu kwake Mungu....
283. NIMEYASIKIA mengi aliyoyafanya Yesu
283
1. Nimeyasikia mengi aliyoyafanya Yesu katika maisha yake huku chini: Pote alitenda mema, alisaidia wote. Kwa furaha ninaimba: “Yesu yeye yule leo!”...
299 JE, umelisikia jina zuri
299
1. Je, umelisikia jina zuri, Jina la Mwokozi wetu? Linaimbiwa duniani pote na katika watu wote.
Pambio:
Yesu, jina hilo linapita majina yote kwa uzuri! Ni lenye...