Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

NW Project

Jambo, Jina langu William Muyuku, ninakaa Toronto-Canada.

Siku mingi nilikua nikienda kwenye sherehe mbali mbali nikaona tunakua na shida sana kupata vitabu vya nyimbo za wokovu ili tumusifu Mungu, na wakati ingine tuna vitabu ila hatujui gisi yakuimba nyimbo. Ndio hapo Mungu akatia mu roho yangu nitengeneze website kusaidia watu kupata nyimbo, kuzi print, nakujua gisi yakuziimba.

Ninakaribisha yeyote ambaye anapenda jiunga nasisi kwa maombi wala msaada mwengini wowote akaribiye na Mungu atajitukuza mwenyewe kupitia kazi hii.

Mungu awabariki.


Contact yetu

nyimbo@nyimbozawokovu.org

Simu: +14379939692