Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

189 UNIHUBIRI habari njema

189 1.Unihubiri habari njema, neno la ukombozi, hata ikiwa siufahamu wingi wa wema! Nilipokuwa katika giza, ndipo Mwokozi alinijia, na akanipa wokovu, raha na tumaini....

190 KISIMA cha lehi kingali

190 1. Kisima cha Lehi kingali kwa kila aliye na kiu. Kinatoa maji mazima yaliyo ya kuburudisha. Pambio: Kisima chema cha maji safi hakikauki hata milele. Ni heri...

191 YAPIGWA hodi kwangu

191 1. Yapigwa hodi kwangu, mgeni a’fika, akiniomba: “Nifungulie! Umande umeshuka kichwani usiku, na nywele zangu zimelowa maji”.   2. A!...

192 SAUTI moja iliniuliza

192 1. Sauti moja iliniuliza: ” Wajua nilikufanyia nini? :/: Kwa’jili yako niliteswa sana; ufike kwangu, kwani nakupenda! ” :/:   2. ”...

193 NINENO zuri la ‘aminiwa

193 1. Ni neno zuri la ‘aminiwa, listahililo kukubaliwa, ya kwamba Yesu alitujia awaokoe wenye makosa.   2. Wa kwanza mimi wa wenye dhambi, lakini ninafurahi...

194 USIKIE Bwana Yesu anakuita leo

194 1. Usikie Bwana Yesu anayekuita leo! Aliteswa, alikufa kwa ajili yako wewe. Pambio: Usikie Bwana Yesu! Anabisha mlangoni. Umfungulie moyo, umkaribishe sasa!...

195 TUNASIKIA leo habari

195 1. Tunasikia leo habari, inawaita watu wafike; watu wa hapa, watu wa mbali, wote wapate sasa wokovu!   2. Mtu wa dhambi uje upesi, Yesu angoja kukuokoa!...

196 USIEIFANYA bidii kabisa

196 1. Usiyefanya bidii kabisa, hutaingia mbinguni. Uikinge roho kwa neno la Mungu, usipotee milele! Njia ni nyembamba na mlango ‘dogo, ujitahidishe kuingia...

197 HAPO nilipokua dhambini

197 1. Hapo nilipokuwa dhambini, niliumwa kwatika roho. Sasa ninafurahi kwa shangwe kwani Yesu ameniponya. Pambio: Ndiyo kazi kubwa ya ajabu: Mwokozi aliniokoa!...

198 E’MTU mwenye kiu

198 1. E’ mtu mwenye kiu, ufike kwake Yesu, :/: upate maji ya uzima, hutaona kiu kamwe! Pambio: :/: Njoo kwa Yesu, uyanywe maji hai! Ufike, na utapewa uzima...

199 NJONI wote muteswao

 199 1. Njoni wote mteswao! Wote wenye sikitiko kwa ajili ya makosa, mje sasa kwa Mwokozi! Kwake mtaona raha, utulivu na amani. Matulizo mioyoni mtapata kwake Yesu....

200 NJONI wote

200 1. Njoni wote, mle, mnywe, Yesu anasema hivyo. “Nimetoa mwili wangu kwa ajili yenu ninyi.” Kila mtu mwenye njaa aje na apate kula! Na aliye na makosa...

201 NJO mwenye huzuni nyingi

201 Njoo, mwenye huzuni nyingi! Yesu anakungoja. Uje, atoe mzigo wako, ata’okoa wewe! Pambio Njoo, uliye na huzuni! Njoo kwa Mungu wa neema! Roho wa Mungu...

202 NJOO kwa Yesu Mwokozi

202 1. Njoo kwa Yesu Mwokozi, unayeteswa rohoni! Damu iliyomwagika itakuosha kabisa. Pambio: Njoo kwa Yesu Mwokozi, naye atakuokoa! Ulimwenguni ni dhiki, kwake...

203 HATUA moja kati ya wewe na Mwokozi

203 1.Hatua moja kati ya wewe na Mwokozi. Wakawilia nini? Ufike kwake leo! Pambio: Hatua moja, hatua moja, njoo akungoja! Njoo kutubu dhambi, atasamehe zote! Usikatae...

204 PENDO la Mwokozi kubwa mno

204 1. Hatua moja kati ya wewe na Mwokozi. Wakawilia nini? Ufike kwake leo! Pambio: Hatua moja, hatua moja, njoo akungoja! Njoo kutubu dhambi, atasamehe zote! Usikatae...

205 YESU Mwokozi aita kwapendo mimi na wewe na wote

205 1. Pendo la Mwokozi kubwa mno! Yesu akuita, ufike kwake sasa! Pambio: :/: Anangoja, anabisha, ufungue!:/:   2. Amengoja wewe siku nyingi, analia sana juu...

206 RAFIKI yangu tazama

206 1. Rafiki yangu, tazama, wapita njia ya wapi? Milele, je? utakaa wapi ukikataa Mungu? Pambio: Ujiandae sasa, utakutana na Mungu! Lazima uwe tayari kwa sababu...

207 UMGEUKIE Mwokozi

207 1.Umgeukie Mwokozi, jitenge na ovu na dhambi! Babako angoja ufike; usiangamie milele!   2. Kijana, unafurahia maisha na mambo ya nchi. Baada ya muda kitambo...

208 PIGA makengele ya furaha leo kwa sababu mutu ametubu

208 1. Piga makengele ya furaha leo kwa sababu mtu ametubu! Mwana mpotevu amerudi sasa, baba amemsamehe yote.   2.Nyimbo za furaha ya mbinguni, Nyimbo za furaha...

209 UWATAFUTE wanao potea

209 1. Uwatafute wanaopotea, na kwa upendo watoe dhambi! Lia pamoja na wenye huzuni, uwapeleke kwa Yesu Mwokozi! Uwatafute wanaopotea! Yesu Mwokozi awahurumia.   2....

210 IMBA injili ya Yesu kwa moyo na roho kabisa

210 1. Imba injili ya Yesu kwa moyo na roho kabisa! Lango la neema yake ni wazi kwa watu wote. Pambio: Imba, imba injili, na watu wasikilize! Imba injili ya Yesu,...

211 NJOO kwa Yesu

 211 1. Njoo kwa Yesu, usishangae! Akuonyeshe njia ya mbingu. Msikilize, anakusihi: Mtu wa dhambi, njoo! Pambio: Heri, heri, tutakusanyika kwake Mungu kwa furaha...

212 SAUTI ya Yesu niliisikia

212 1. Sauti ya Yesu niliisikia, kwa pendo aliniambia: “Ufike, nataka kukusaidia, nangoja, nangoja, ufike!” Pambio: Njoo kwa Yesu, ufike upesi, uupokee...

213 KAMA unataka kuwa mtu wake Yesu

213 1. Kama unataka kuwa mtu wake Yesu, kama unataka kufuata yeye, kama unataka yeye akusaidie: Mpe Yesu moyo wako! Pambio: Ataondoa dhambi zako zote, na utaipokea...