0
240 NAVUTWA kwake Yesu na ninamufurahiya
240
1. Navutwa kwake Yesu na ninamfurahia, uzuri wake unapita vyote vya dunia. Siwezi kuupima kweli kwa fikara zangu. Uzuri wake unazidi kuwa bora kwangu!
Siwezi...
241 SITASHAWISHIWA tena na dunia huku
241
1. Sitashawishiwa tena na dunia huku, mema yote ni kwa Yesu, nampenda yeye. Katika safari yangu, Bwana Yesu wimbo wangu. Mbali, kwetu, kila saa namsifu Yesu.
...
242 MAISHA yangu yote nimali ya Mwokozi
242
1. Maisha yangu yote ni mali ya Mwokozi. Maungo, roho na akili, yeye ameyabadili. Siku zangu zote ni mali ya Mwokozi.
Pambio
Wakati wangu wote ni mali ya Mwokozi....
243 UKICHOKA kwa safari ngumu
243
1. Ukichoka kwa safari ngumu, sema na Yesu, sema na Yesu! Waogopa kwamba hutadumu, sema na Yesu daima!
Pambio
Sema na Yesu, sema na Yesu, yeye rafiki amini!...
244 SAFARI yangu huku ikiwa hatarini
244
1. Safari yangu huku ikiwa hatarini, na ikipita katika giza na jaribu, najua kwa hakika: Mwokozi yu karibu, ninamfuata mahali po pote.
Pambio:
Nikiwa pamoja...
245 MIKWAJU itiapo giza na kivuli
245
1. Mikwaju itiapo giza na kivuli katika nchi ya Bersheba ya zamani, alitembea Ibrahimu asubuhi, na maumivu na huzuni ni rohoni, kwa kuwa aliitwa na Mwenyezi...
246 HESHIMA na sifa zina Baba mbinguni
246
1. Heshima na sifa zina Baba mbinguni, aliyetupenda zamani na sasa!
Pambio
Haleluya, usifiwe! Haleluya, amina. Haleluya, usifiwa! Haleluya, amina.
2....
247 NAPENDA sana kumushukuru Mwokozi
247
1. Napenda sana kumshukuru Mwokozi wangu kwa nia huru; kwa wimbo wangu nashuhudia upedo wake na damu pia.
2. Nikishukuru mateso yake msalabani na kufa...
248 YESU akiniongoza sitaanguka
248
1. Yesu akiniongoza sitaanguka, sitaanguka. Ni Mfalme mtukufu, Mwokozi wangu, Mwokozi wangu.
Pambio
Wakati huu, hata milele apita vyote vya dunia. Yesu amenichagua,...
249 ZAMANI mjini mwa Yerusalemu
249
1. Zamani mjini mwa Yerusalemu waisrael’ waliabudu. Wakristo wa sasa wanakusanyika kuomba, kusifu Mwokozi.
Pambio:
Msifuni, msifuni Mungu wetu, kwani...
250 IKAWA siku kubwa kwangu aliponiokoa Yesu
250
1. Ikawa siku kubwa kwangu aliponiokoa Yesu. E’ roho yangu umsifu Mwokozi wako Yesu Kristo!
Pambio:
Siku kuu, siku kuu aliponiokoa Yesu! Na kwa neema...
251 HERI mimi kwani Mukombozi wangu alitoa dhambi
251
1. Heri mimi kwani Mkombozi wangu alitoa dhambi zote! Shangwe na furaha zanijaza mno, kila siku nafurahi! Kila siku nafurahi!
Kila siku nafurahi! Heri mimi...
252 NINAKUSHUKURU Mungu kwa fadhili
252
1. Ninakushukuru Mungu kwa fadhili zako zote, kwa furaha na uchungu, kwa neema njia yote! Kwa kipupwe na masika, kwa wakati wa machozi. Na kwa raha kadhalika...
253 SIKU ya furaha inatufikia
253
1. Siku ya furaha inatufikia, siku nzuri katika nchi. Mungu asifiwa mbali na karibu! Malaika wanamshukuru Bwana.
2. Huko Bethlehemu alipozaliwa Yesu Kristo...
254 E’ROHO yangu
254
1. E’ roho yangu, sikiliza vema, wimbo wa juu unatufikia! Shangwe na raha unatuletea, amezaliwa Mkombozi wetu.
Pambio:
Ahimidiwe Mungu wa mbingu! Na duniani...
255 ZIMETIMIZWA Ahadi njema
255
1. Zimetimizwa ahadi njema: Amezaliwa Mwokozi wetu! Na yote Mungu aliyosema kwa manabii kwa ajili yetu, tumeyapata na kuyaona katika Yesu, mwanawe Mungu. Alitujia...
256 ASUBUHI na mapema
256
1. Asubuhi na mapema siku ya habari njema twende sote Bethlehemu! Mungu ameturehemu!
2.Nyota kubwa inang’aa ju’ ya nyumba ana’kaa Mwana...
257. SIKU ya kuisikia parapanda
257
1. Siku ya kuisikia parapanda yake Mungu, ikiita wateule wake wote, kwa neema tutakaribishwa na Mwokozi wetu katika kutano kubwa huko juu.
Pambio:
Tutakaribishwa...
258. MIKUTANO kubwa gani mlimani
258
1. Mkutano ‘kubwa gani mlimani mwa Sayuni asubuhi ya milele? Hawa walinunuliwa tena walitakasiwa, wawe malimbuko kwa Mwokozi.
2.Hata kufa huku...
259. NAFIKIRI siku tutakayofika huko kwetu
259
1. Nafikiri siku tutakayofika mbinguni huko kwetu, na malaika kwa furaha watatukaribisha.
Pambio:
Wataimba wimbo wakutupokea: “Karibuni! Karibuni wote...
260. MWENYEZI amejenga mji
260
1. Mwenyezi amejenga mji, Mfalme wa huko ni Yesu, Yohana aliouona kushuka kutoka mbinguni. Ukuta ukawa wa jaspi, na njia ya dhahabu safi. Wakati nitakapohama,...
261. MSAFIRI uliye njiani
261
1. Msafiri uliye njiani, watamani nyumba ya babako. Sikiliza nyimbo za mbinguni! U karibu sana kufikako.
Pambio:
Utakuwako huko, katika mkutano wa wakristo huko...
262. KITAMBO bado – vita itaisha
262
1. Kitambo bado-vita itaisha, kitambo, na dhoruba zitapoa. Na tena nitalaza kichwa changu mbavuni mwake anayenipenda.
:/: Nitaziona raha na amani, mbinguni...
263. ENYI kundi lake Mungu
263
1. Enyi kundi lake Mungu, muda haba mhimili! Kati’ nchi ya milele mtaona raha tele.
:/: Muda haba, muda haba, tena vita itakwisha. :/:
2.Usilogwe...
264. E’MSAFIRI jangwani
264
1. E’ msafiri jangwani, tazama juu mbinguni! Hapo utaona nyota za faraja na tumaini.
Pambio:
Huko hutayaona machozi wala shida. Mungu atatuliza msafiri...


