0
290. BARAGUMU litalia sana
290
1. Baragumu litalia sana, watu wote watalisikia. Waliokufa watafufuka na wazima watabadilika.
:/: Nani anayeweza? Yesu, mweza yote. :/:
2. Na wenye...
291. MIMI mwenye hatiya nilikombolewa
291
1. Mimi mwenye hatia nilikombolewa, Mwokozi alipojitoa. Dhambi zangu na zako alizichukua, kwa damu aliniokoa.
Pambio:
Dhambi zimetundikwa msalabani alipojitoa,...
292. KATIKA damu takatifu
292
1. Katika damu takatifu ya Mwokozi wangu nimesafishwa. Na nguvu ya Mwokozi wangu tu yaweza kunilinda safi.
Pambio:
Mungu ahimidiwe, Mungu ashukuriwe kwa ajili...
293. NCHI nzuri ya raha ajabu
293
1. Nchi nzuri ya raha ajabu, kwa imani twaona si mbali. Baba atungojea sababu ametuandalia mahali.
Pambio:
:/: Tukutane sisi sote huko juu nyumbani mwa Baba!:/:...
294. UTUME Roho yako juu yetu
294
1. Utume Roho yako juu yetu kama ulivyofanya hapo kale!
:/: Uwashe moto wako ndani yetu, tusiwe watu wa uvuguvugu! :/:
2.Utume Roho yako juu yetu kama...
295. E’FURAHENI watu wake Mungu
295
1. E’, furahini watu wake Mungu! Mwokozi wetu alituokoa. Neema kubwa, pendo la ajabu! Tusifu Mungu sana siku zote!
Pambio:
E’ Mungu ana mamlaka...
296. Dhambi hatia zimeondolewa
296
1. Dhambi, hatia zimeondolewa, yote ya kale yamepita sasa. Damu ya Yesu imenisafisha; ninamfurahia Mkombozi wangu.
Pambio
Mavazi safi na kao nzuri ninayo huko...
297. NIPE saa moja nawe Yesu
297
1. Nipe saa moja nawe Yesu nikichoka huku duniani! Hata nikiona vita kali, wanistarehesha siku zote.
Pambio:
Nipe saa moja nawe Yesu, kwani giza iko duniani!...
298. NINAO wimbo wakunifurahiya
298
1. Ninao wimbo wakunifurahisha wa Mwokozi, wa Mwokozi. Namshukuru kwa roho yote pia, Mwokozi mzuri ninaye!
Pambio:
Mwokozi – wimbo wangu, Mwokozi, Mwokozi!...
299 JE, umelisikia jina zuri
299
1. Je, umelisikia jina zuri, Jina la Mwokozi wetu? Linaimbiwa duniani pote na katika watu wote.
Pambio:
Yesu, jina hilo linapita majina yote kwa uzuri! Ni lenye...
300. MUNGU abariki nyote
300
1. Mungu awabarikie nyote na awe pamoja nanyi! Awalinde kwa amani! Mungu n’awe nanyi siku zote!
Pambio:
Mungu n’awe nanyi daima hata mwisho wenu...


