0
114 IMBA habari njema: Mungu apenda wote
114
1. Imba habari njema: Mungu apenda wote! Uihubiri damu ituponyayo roho! Taja karama kubwa: Mwana alitujia, pasha habari hiyo kwa kila mtu!
Pambio:
Yesu msalabani...
115 PENDO la Mungu ni kubwa
115
1. Pendo la mungu ni kubwa, pasha habari hiyo! pendo la Mungu ni kubwa, mwanzo wa nyimbo zote. malaika waliimba wachunga wakasikia. tunafurahi kujua pendo la...
116 TUIMBIE tumsifu Yesu ju’
116
1. Tuimbie, tumsifu Yesu ju’ya msalaba! Aliteswa na akafa, yote kwa ajili yetu. Akashinda, ‘kafufuka, ni Mwokozi ‘kamilifu.
Pambio:
Yesu alitukomboa,...
117 NILIPOFIKA Golgotha
117
1. Nilipofika Golgotha nikaiona huko neema kubwa kama mto, neema ya ajabu.
Pambio:
Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa, ne’ma tele na ya milele, ne’ma...
118 NI MWOKOZI mzuri ninaye
118
1. Ni Mwokozi mzuri ninaye, alikufa kunikomboa. Alitoa uzima wake kwa ajili ya watu wote.
Pambio:
Alikufa msalabani, alikufa msalabani. Kwa ajili ya dhambi zangu...
119 TUIMBIE msalaba wa Mwokozi
119
1. Tuimbie msalaba wa Mwokozi, damu yake inatusafisha sana! Tunaweza kuwa huru, kwani Yesu alikufa ili ku’ondoa dhambi.
Pambio:
Haleluya, anipenda! Haleluya...
120 MSALABANI nilimuona Yesu
120
1. Msalabani nilimwona Yesu, Mwokozi wangu aliyeniponya; rohoni mwangu giza ikatoka, ninafuata Yesu sasa.
Pambio:
Nimeokoka kutoka dhambi, na siku zote ninaimba...
121 YESU nifuraha yangu
121
1. Yesu ni furaha yangu, amejaa pendo kweli. Anaweza kusimika kila mwenye udhaifu. Ananipa ujasiri, nguvu, raha na faraja. Hata nikionja kufa, Yesu ni mchunga...
122 MWOKOZI kamili ni Yesu pekee
122
1. Mwokozi kamili ni Yesu pekee, Mwokozi mzuri halisi. Katika wokovu wa Mungu mkuu ninalindwa naye kabisa.
Pambio
Katika wokovu nalindwa salama, naishi kwa...
123 MWOKOZI mzuri ninaye
123
1. Mwokozi mzuri ninaye, zamani sikumfahamu, na sasa ninamhubiri, wengine wapate kuona.
Pambio:
Wote watamwona, wote watamwona Mwokozi mzuri ninaye; Lo! Wote...
124 NAONA pendo kubwa mno
124
1. Naona pendo kubwa mno, latoka kwa Mwokozi wangu, ni tele kama maji mengi yatembeayo baharini. Lanitolea tumaini yakwamba nitatiwa nguvu; na niwe mhodari tena...
125 HALELUYA! nafurahi
125
1. Haleluya! Nafurahi, ninaimba kila siku sifa zake Mungu wangu, aliyeniweka huru. Haleluya! Bwana Yesu aliniokoa kweli! Haleluya! Mimi wake, yeye ni Mwokozi...
126 E’MTAKATIFU Mungu wamajeshi
126
1. E’ Mtakatifu, Mungu wa majeshi, leo asubuhi tunaimba mbele yako! E’ Mtakatifu, Mungu wa rehema, Bwana Mwenyezi, tunakuabudu!
2. E’...
127 NIMEUONA mto safi
127
1. Nimeuona mto safi, kisima cha ajabu, ni damu yake Yesu Kristo, inayonitakasa.
Pambio:
Nimeuona mto safi uniosha moyo wangu. Namshukuru Mungu wangu, aliniweka...
128 NINA rafiki mwema
128
1. Nina rafiki mwema, naye alinifilia; alinivuta kwake na amenifanya mpya. Ni mali yake Yesu tu, ninaongozwa naye, alikomboa mimi kwa agano la upendo.
2.Nina...
129 NINATAKA kumsifu Yesu Kristo aliyeondoa dhambi zangu zote
1. Ninataka kumsifu Yesu Kristo aliyeondoa dhambi zangu zote. Twende sote sasa tumsifu Yeye, na pendo kubwa la Mwokozi! Haleluya! Yu Mfalme ‘kuu!
Pambio:
Haleluya!...
130 NINATAKA kumsifu Yesu
130
1. Ninataka kumsifu Yesu, Bwana wangu mwema. Aliteswa hata kufa, ili niwe huru kweli.
Pambio:
Mwimbieni Bwana Yesu kwa upendo wake ‘kubwa! Alilipa deni...
131 MIMI mukristu
131
1. Mimi mkristo nita’vyokuwa katika yote mpaka kufa. Mimi mkristo, ‘navyoshuhudu, dunia yote ikinicheka. Mimi mkristo kwa moyo wote sababu ninampenda...
132 YESU mwokozi unanipenda
1. Yesu Mwokozi, unanipenda, na pendo lako ni kubwa kabisa. Ulinivuta karibu nawa, Mimi ni wako daima dawamu.
2. Yesu Mwokozi, unanipenda, na pendo lako...
133 UFURAHI moyo wangu
1. Ufurahi, moyo wangu, heri nyingi umepata!
:/: Sikitiko limekwisha, Yesu ni wangu nami wake. :/:
2. Ameponya roho yangu, yeye ni mponyaji mwema;
:/:...
134 WETU wa Mungu
1. Watu wa Mungu, mshangilieni kabisa, na mwimbieni Mfalme wa mbingu na nchi! Mungu yu nasi kwa pendo kubwa, kamili ili tupate wokovu.
2. Ona ajabu! Mwokozi...
135 SIFU Bwana
1. Tuinue moyo tukisifu Yeye, aliyehukua (sic) dhambi zetu! Yesu, Mkombozi, asifiwe, aliyetufia sisi!
Pambio:
Yesu! Tumwabudu Yeye! Yesu! Sifu jina lake! Tuimbe...
136 TUINUE moyo tukisifu Yeye
1.Tuinue moyo tukisifu Yeye, aliyehukua (sic) dhambi zetu! Yesu, Mkombozi, asifiwe, aliyetufia sisi!
Pambio:
Yesu! Tumwabudu Yeye! Yesu! Sifu jina lake! Tuimbe...
137 NAFURAHI kwa sababu kati’ damu ya Yesu moyo umetakaswa
1.Nafurahi kwa sababu kati’ damu ya Yesu moyo umetakaswa, nimepata amani.
Pambio:
Haleluya! Haleluya! Mkombozi asifiwe! Haleluya! Haleluya! Haleluya! Amina!
2.Sina...
138 SASA tayari kwetu siku yakuokoka
1. Sasa tayari kwetu siku ya kuokoka, Yesu alitimiza yote msalabani. Wengi wanamjia Yesu Mwokozi wao, wapate kustarehe, wapone nafsi zao.
Pambio:
Mwana-kondo’...


