0
170 NIKIONA shida huku katika safari
170
1. Nikiona shida huku katika safari, Yesu aninong’oneza neno la faraja. Ananipa raha tele na furaha ya ajabu. Ninaandamana naye sasa na milele.
2....
173 MAISHA katika dunia
173
1. Maisha katika dunia ni kama kupanda na ‘vuna: Apandaye katika mwili atavuna uharibifu; tukitumikia Mwokozi tutapata thawabu mbinguni; yafaa kuishi na...
190 KISIMA cha lehi kingali
190
1. Kisima cha Lehi kingali kwa kila aliye na kiu. Kinatoa maji mazima yaliyo ya kuburudisha.
Pambio:
Kisima chema cha maji safi hakikauki hata milele. Ni heri...
191 YAPIGWA hodi kwangu
191
1. Yapigwa hodi kwangu, mgeni a’fika, akiniomba: “Nifungulie! Umande umeshuka kichwani usiku, na nywele zangu zimelowa maji”.
2. A!...
239 NENO mbaya lisitoke kamwe kwa ulimi wako
239
1. Neno baya lisitoke kamwe kwa ulimi wako! Pendo likuchunge pote, hata na maneno yako!
Pambio:
Amri ya Yesu ni “Mpendane”! Kama watoto wema tumtii!...
241 SITASHAWISHIWA tena na dunia huku
241
1. Sitashawishiwa tena na dunia huku, mema yote ni kwa Yesu, nampenda yeye. Katika safari yangu, Bwana Yesu wimbo wangu. Mbali, kwetu, kila saa namsifu Yesu.
...
242 MAISHA yangu yote nimali ya Mwokozi
242
1. Maisha yangu yote ni mali ya Mwokozi. Maungo, roho na akili, yeye ameyabadili. Siku zangu zote ni mali ya Mwokozi.
Pambio
Wakati wangu wote ni mali ya Mwokozi....
243 UKICHOKA kwa safari ngumu
243
1. Ukichoka kwa safari ngumu, sema na Yesu, sema na Yesu! Waogopa kwamba hutadumu, sema na Yesu daima!
Pambio
Sema na Yesu, sema na Yesu, yeye rafiki amini!...
262. KITAMBO bado – vita itaisha
262
1. Kitambo bado-vita itaisha, kitambo, na dhoruba zitapoa. Na tena nitalaza kichwa changu mbavuni mwake anayenipenda.
:/: Nitaziona raha na amani, mbinguni...
263. ENYI kundi lake Mungu
263
1. Enyi kundi lake Mungu, muda haba mhimili! Kati’ nchi ya milele mtaona raha tele.
:/: Muda haba, muda haba, tena vita itakwisha. :/:
2.Usilogwe...
265. TU wasafiri
265
1. Tu wasafiri, twakaribia nchi ya mbingu kwa Mungu baba. Tusiogope bonde la kufa, Yesu atuongoza kwake!
Pambio:
:/: Tu wasafiri:/: tutakutana nyumbani mwa...
266. AYALA naye anayo shauku
266
1. Ayala naye anayo shauku ya maji ya kisima; na vivyo hivyo ninaona kiu kwa Mungu wa uzima.
Pambio:
Kama ayala aonavyo shauku mito ya maji safi, na vivyo...
274. NINAFURAHIYA kisima daima
274
1. Ninafurahia kisima daima, kisima cha damu ya Yesu. Katika upendo nalindwa salama, nasifu Mwokozi mpendwa.
Pambio
Kisima cha maji kinabubujika, kinaniletea...
275 E’MUNGU mwenye haki
275
1. E’ Mungu mwenye haki, uniongoze huku katika mambo yote yanayokupendeza! Nikiwa huku bila wewe, vitisho hofu na mashaka yananitia tetemeko mpaka kufa....
289. NINATAMANI kwenda mbingu
289
1. Ninatamani kwenda mbingu nchi yangu niliyopewa na Mungu kwa imani. Ni shangwe bora kuona mji ule; kwa kwenda kule sitaogopa kitu.
Pambio:
E’ Baba yangu,...