0
323 Nakutegemea Yesu, unilinde hapa chini
1. Nakutegemea Yesu, unilinde hapa chini. Njia yangu ndefu sana wewe ndiwe kiongozi.
Pambio:
Unitie nguvu kweli majaribu na mashaka vyazunguka roho yangu. Kweli...
324 Bwana Yesu atashuka mbingu na sauti za wamalaika
1. Bwana Yesu atashuka mbingu na sauti za wamalaika.
Pambio:
:/:(Lakini wewe) mwovu, ujue kama utaenda wapi. Itakuwa furaha kubwa, kwa wale wataenda na Mwokozi....
325 Hapa katika dunia tunaachana mara nyingi
1. Hapa katika dunia tunaachana mara nyingi. Lakini kwa Mwokozi wetu, hatutatengwa naye.
Pambio:
Baba Mungu awe pamoja nawe. Akulinde katika njia, Uende katika amani,...
326 Siku kuu ya Mungu imekaribia
1. Siku kuu ya Mungu imekaribia, mwaliko umetumwa kwako. Mda ni mfupi, tujitayarishe, kwenda kumlaki Bwana Yesu.
Pambio:
Siku inakuja, yawaka kama moto, kimbia hukumu...
327 Katika giza la usiku, pakawa na kelele kuu
1. Katika giza la usiku, pakawa na kelele kuu. Tazama Bwana yu karibu, tokeni mwende kumlaki.
:/: Tazama, Bwana yu karibu, Tokeni mwende kumlaki. :/:
2. Na wanawali...
328 Bwana Yesu ‘tuongoze, wende mbele yetu
1. Bwana Yesu ‘tuongoze, wende mbele yetu. Sisi tuwe nyuma yako, tufike Sayuni. Sisi peke hatuwezi kuongoza njia yetu. Ulisema peke yako, wewe ndiwe njia.
2....
301 Njioni (sic) tumwimbie Bwana
1. Njioni (sic) tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe kuu. Mwamba wa wokovu wetu, tuje kwake na shukrani, tumfanyie shangwe kuu, Bwana ni Mungu mkuu, na Mfalme wa wafalme,...
302 Mungu wetu alituambia, tusichoke kumtumikia.
1. Mungu wetu alituambia, tusichoke kumtumikia. Wale watakaoshindwa huku watabaki huku duniani. Mungu wetu tunangoja sisi,
Mwnye enzi Yesu Mkombozi
:/: Twawekewa...
303 Nitamwimbia Mungu na furaha, kwa sababu alishinda shetani.
1. Nitamwimbia Mungu na furaha, kwa sababu alishinda shetani. :/: Kwa furaha punda zote za Farao, walizozipanda wote wakafa. :/: :/:
Pambio:
Kule ngambo, kule ngambo...
304 Sifa, uwezo na heshima, kwake Yesu Mwana kondoo.
1. Sifa, uwezo na heshima, kwake Yesu Mwana kondoo. Sifa, uwezo na heshima, ni Mfalme wetu.
Pambio:
Sifa, sifa, mwimbie kwa shangwe Sifa, sifa, Mwana Kondoo.
2....
305 Sifa na sifa ninakupa Yesu
1. :/: Sifa na sifa ninakupa Yesu, kweli nimwimbie Mungu :/: :/: Sifa, sifa na sifa kwa Yesu. :/:
2. :/: Maombi yangu Bwana yakufikie, ee! Mungu wa heri...
306 Ninakuhitaji Mwokozi, kujazwa na Roho yako
1. Ninakuhitaji Mwokozi, kujazwa na Roho yako. Mapema, mchana, jioni, nikutumikie Yesu.
Pambio:
:/: Ninakuhitaji Yesu, nijazwe upendo wako. Na siku kwa siku, Mwokozi,...
307 Walikombolewa waimba juu
1. Walikombolewa waimba juu, wakisujudu mbele zake Bwana. Huzuni na taabu zake dunia Bwana amewaondolea zote.
Pambio:
Wanamwimbia Mwana Kondoo aliyekufa, sasa yu...
308 Naona maajabu leo
1. Naona maajabu leo (yatoka) yatoka Bwana Mungu wetu (wa kweli) Katika maahadi yake,
(Ishara) Ishara zinaonekana.
(Naona) naona majabu kubwa,
(Napenda) napenda...
309 Mungu akasema iwe nuru, ikawa nuru
1. Mungu akasema iwe nuru, ikawa nuru, Mungu akaona nuru yakwamba ni njema. Mungu akatenga nuru na giza, Mungu akaiita nuru mchana, na giza akaliita usiku. Ikawa...
310 Ukitafuta wokovu, dhambi zivutwe.
1. Ukitafuta wokovu, dhambi zivutwe. Twakuletea habari, Yesu anakuita.
Pambio:
Yesu Mwokozi akuita, akuita, akuita Yesu Mwokozi akuita, akuita wewe leo.
2.Ukipotea...
311 Mara kwa mara Yesu aita, umwitikie sasa.
1. Mara kwa mara Yesu aita, umwitikie sasa. Yawezekana ni mara mwisho, anakuita sasa.
Pambio:
Wewe uliye dhambini, Yesu akutafuta. Akusamehe makosa, usichelewe...
312 Zaburi 117:1-2
1. Zaburi 117:1-2. Enyi mataifa yote, msifuni Bwana, enyi watu wote mhimidi. Maana fadhili zake, kwetu sisi ni kuu, na uaminifu wa Bwana ni wa milele.
Pambio:
Zaburi...
313 Kumbe wakati wapita mbio, ni sawa jana mlipofika,
1. Kumbe wakati wapita mbio, ni sawa jana mlipofika, mlitumika pamoja nasi, na sisi wote tulifurahi.
2. Na kazi yenu tuliipenda, hamkuchoka kutufurahisha....
314 Kuomba ni agizo jema mno, kupata ni ahadi tamu kweli
1. Kuomba ni agizo jema mno, kupata ni ahadi tamu kweli. Likiwa nene nguvu na matata; tazama afungaye kwa upendo.
Pambio:
Sifa kwa Mungu Baba wetu, Anawaunga wawili...
315 Baba Mungu akifunga, hata moja tafungua
1. Baba Mungu akifunga, hata moja tafungua. Na kama akifungua, wakufunga anakosa. Siku utatufungua tutaruka kama njiwa, Eh Mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyake Mungu....
316 Nyota kubwa inang’aa, inang’aa nguvu sana,
1. Nyota kubwa inang’aa, inang’aa nguvu sana, ahadi ya zamani. Iling’aa tangu mbele manabii wali’ona, ilingoja wakati. :/: Iling’aa,...
317 Sisi tuliokoka na tunashangilia
1. Sisi tuliokoka na tunashangilia, twapita unlimwengu na tuna amani.
2. Mwapenda vya dunia mbona hamvishibe, hata wababu zenu hawakuviweza.
3.Dunia...
318 Nimeliona pendo kubwa mno
1. Nimeliona pendo kubwa mno, na pendo hilo nalifurahia. Na jina lake mwenye kunipenda, Ni Mungu Baba tena Yesu Mwana. :/: Upendo wako nausifu sana, ewe Mungu nawe...
319 Nafurahia wokovu niliopata kwa Yesu
1. Nafurahia wokovu niliopata kwa Yesu, nitasifu Mungu wangu daima huko mbinguni. Wokovu niliopewa, na unanirusha juu, kw’ajili ya shangwe kubwa, inayoimba...