Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

214 NAMTAFUTA mwana wangu

214 1. Namtafuta mwana wangu, mtoto yu wapi leo? Alienifurahisha mbele, ningali ninampenda. Pambio: Mwanangu yu wapi leo? Mwanangu yu wapi leo? Mwanangu, urudi,...

215 MWENYEZI Mungu anafanya ishara kubwa Duniani

215 1. Mwenyezi Mungu anafanya ishara kubwa duniani, anaondoa minyororo inayofunga watu huku. Avunja nyavu za shetani, na wakosaji waokoka.   2. Maneno yake...

216 NAFASI ingaliko arusini

216 1. Nafasi ingaliko arusini ita’yokuwa kwake Mungu Baba. Njoo kwake, nafasi ingaliko!   2.Njiani mwako jua linakuchwa, jioni inakaribia sasa. Njoo...

217 BWANA Yesu atakuja kutoka mbinguni

217 1. Bwana Yesu atakuja kotoka mbinguni, atawachukua wote wanaomwamini. Pambio: Kama nyota za mbinguni watu wake watang’aa katika taji yake, kuwa sifa ya...

218 MTOTO mimi ni maskini

218 1. Mtoto mimi ni maskini, lakini nafurahi kwa kuwa Baba yangu mwema ananitunza vema.   2. Babangu anipenda sana, anionyesha njia. Upendo wake unapita uzuri...

219 HATUMUJUI rafiki mwema

 219 1. Hatumjui rafiki mwema, ila Yesu, ila Yesu; yeye mwenyewe atufahamu, yeye Bwana peke yake. Pambio: Yesu anatujua, pia Yesu anatuonya njia. Yesu rafiki kupita...

220 YESU wewe U mchunga wetu

220 1. Yesu, wewe u mchunga wangu, twakuomba: Utulinde! Utulishe sisi kundi lako, tukashibe neno lako! Yesu mwema, Yesu mwema, tushibishe kwa neema! Yesu mwema,...

221 E’MTOTO yainue macho yako mbinguni

221 1. E’mtoto, yainue macho yako mbinguni! Bwana Yesu huko juu, kwa upendo akuone.   2.Ukiomba asikia, akulinda mashakani; na anakuandalia kao zuri huko...

223 NI UHERI bora kumwamini

 223 1. Ni uheri bora kumwamini Bwana Yesu kwa wakati wa ujana wetu, kabla hatujazionja dhambi na mashaka zinazoharibu roho zetu. Pambio: Ni uheri bora kumwamini...

224 YESU mwenye pendo kubwa

224 1. Yesu, mwenye pendo kubwa, usinipitie! Katika maombi yangu unibarikie! Pambio: Yesu, Yesu, unisikilie! Ukiwabariki wote, usinipitie!   2.Ninakiendea...

225 LO! bendera mbele yako

225 1. Lo! Bendera mbele yako, usihofu sasa! Usimame kwa imara kama Danieli! Pambio: Uwe mhodari kama Danieli! Weka makusudi mema bila kuogopa!   2. Wenye...

226 MACHO yangu ya kumtazama

226 1. Macho yangu kumtazama, masikio yakumsikia, na miguu yakumfuata Yesu, rafiki yangu!   2. Roho yangu inapenda Yesu, na ulimi unamshukuru, kwa mikono namtumikia...

227 MUNGU aliye mbinguni alitupa kiongozi

227 1. Mungu aliye mbinguni alitupa kiongozi, naye ni rafiki wa watoto wote. Ukijua jina lake, ulitaje sasa hivi! Anapenda wote, hata wewe, nami. Pambio: Mbingu...

228 WAKATI wa utoto wako

228 1. Wakati wa utoto wako, hujapoona shida bado, sauti ilikuambia: “Unipe sasa moyo wako!” Pambio: Wajua ni nani huyu anayekuita sasa? Ni Yesu, rafiki...

229 MWOKOZI Mfalme, ulisulubiwa

229 1. Mwokozu Mfalme, ulisulibiwa, e’pasaka wetu, ulidhihakiwa. Ukatoka damu, ‘kaona uchungu ulipotimiza mapenzi ya Mungu. Huku Gethsemane ulihuzunika,...

230 GOLGOTHA Mwokozi alitundikwa mtini

230 1. Golgotha Mwokozi alitundikwa mtini kwa’jili ya wote. Na damu akaitoa Mwokozi ili kutangua dhambi. Penye msalaba nilikombolewa kwa damu ya Yesu iliyotolewa....

231 MWOKOZI alitoa damu kwa’ jili ya waovu

231 1. Mwokozi alitoa damu kwa’jili ya waovu, msalabani alikufa kuniokoa mimi. Pambio E’ Yesu, niokoe sana, nifunze kuamini! Na unilinde tena, Bwana,...

232 NILIPOFIKA kwa bwana Yesu

 232 1. Nilipofika kwa Bwana Yesu, nikapaaza sauti yangu: “Yesu Mwokozi, unirehemu!” Akaniokoa. :/: Yesu asifiwe! :/: Alisikia kilio changu, Yesu asifiwe!   ...

233 TAZAMA Mwokozi aliekufilia

233 1. Tazama Mwokozi aliyekufilia ili wewe upate uzima! Tazama, kwa pendo atakusaidia, usidumu dhambini daima! Pambio: Yainue macho! Tazama Mwokozi aliyekufilia,...

234 UTUKUFU wa mbinguni niwa heri na amani

234 1. Utukufu wa mbinguni ni wa heri na amani, dhambi hazitakuwamo. Vitu vyote vilivyomo ni vya tunu na thamani, dhambi hazitakuwamo. Pambio Dhambi hazitaingia...

235 TUMEKOMBOZWA katika nchi

1. Tumekombozwa katika nchi, usikilize vema, rafiki! :/: Tumeokoka tufike juu, taji kutiwa, furaha kuu! :/:   2. Tumekombozwa katika watu, hata tuchekwe kitambo...

236 DHAIFU mwenye dhambi

236 1. Dhaifu, mwenye dhambi, nilipotea njia, lakini Bwana Yesu alinihurumia. Nategemea yeye, najua pendo lake, ajaza roho yangu, ninavyo vyote mwake. Pamio: Ajaza...

237 MWOKOZI wangu ni mwamba bora

237 1. Mwokozi wangu ni mwamba bora, ahadi kama milima; zaniletea amani tele, na mibaraka daima. Katika mwamba ni raha kuu, baraka tele kutoka juu. Nakaa humo, ninastarehe,...

238 NIFANANISHWE nawe mwokozi

238 1. Nifananishwe nawe Mwokozi, ni haja yangu iliyo kuu. Ninakuomba, na kwa machozi, nikufuate, Bwana wa juu! Pambio: Nifananishwe nawe Mwokozi, mwenye upendo,...

239 NENO mbaya lisitoke kamwe kwa ulimi wako

239 1. Neno baya lisitoke kamwe kwa ulimi wako! Pendo likuchunge pote, hata na maneno yako! Pambio: Amri ya Yesu ni “Mpendane”! Kama watoto wema tumtii!...