0
265. TU wasafiri
265
1. Tu wasafiri, twakaribia nchi ya mbingu kwa Mungu baba. Tusiogope bonde la kufa, Yesu atuongoza kwake!
Pambio:
:/: Tu wasafiri:/: tutakutana nyumbani mwa...
266. AYALA naye anayo shauku
266
1. Ayala naye anayo shauku ya maji ya kisima; na vivyo hivyo ninaona kiu kwa Mungu wa uzima.
Pambio:
Kama ayala aonavyo shauku mito ya maji safi, na vivyo...
267. BABA nakuomba leo na mapema
267
1. Baba, nakuomba leo na mapema: Niongoze pote kwa mapito meme!
Pambio:
Baba yangu, sikiliza ombi langu leo! Baba, nakusifu! Unanisikia.
2. Nistahimilipo kazi...
268. E’YESU ingia rohoni kabisa
268
1. E’ Yesu, ingia rohoni kabisa, uniweke huru nakunitakasa, nipate kushirikiana na wewe katika mateso na raha daima!
Pambio:
:/: E’ Bwana, nijaze...
269. KATIKA bonde na milima
269
1. Katika bonde na milima, kwa mataifa mahali pote, peleka neno la wokovu! Msifu Yesu sana!
Pambio
Msifu Bwana, msifu Bwana! Na tangazeni neno lake, ‘sifuni...
270. SIMAMA fanya vita pamoja na Mfalme
270
1. Simama, fanya vita pamoja na Mfalme! Bendera tuishike iliyo ya Mwokozi! Mwenyezi huongoza majeshi yake huku. Adui wote pia washindwa mbele yake.
2....
271 UWATAFUTE wenzako wapoteao mbali
271
1. Uwatafute wenzako wapoteao mbali! Yesu mwenyewe apenda kuwaokoa wote.
Pambio
Uwatafute wenzako wapoteao mbali! Pasha habari ya Yesu na ya wokovu wake!
2.Uwatafute...
272. NANI ni wa Yesu
271
1. Nani ni wa Yesu? Amtumikie! Atafute watu na kuwahubiri! Nani anataka kujitoa leo, kufuata Yesu katika mateso?
Pambio
Nani ni wa Yesu? Amtumikie! Nani atakaye...
273. NI uheri kumwamini Mungu
273
1. Ni uheri kumwamini Mungu kama Ibrahimu wa zamani. Hakutiwa shaka kwa uchungu, ila alitii kwa imani. Ni uheri kuendea sawa katika mapito ya sheria. Ukijaribiwa...
274. NINAFURAHIYA kisima daima
274
1. Ninafurahia kisima daima, kisima cha damu ya Yesu. Katika upendo nalindwa salama, nasifu Mwokozi mpendwa.
Pambio
Kisima cha maji kinabubujika, kinaniletea...
275 E’MUNGU mwenye haki
275
1. E’ Mungu mwenye haki, uniongoze huku katika mambo yote yanayokupendeza! Nikiwa huku bila wewe, vitisho hofu na mashaka yananitia tetemeko mpaka kufa....
276. MATENDO ya Mungu yapita fahamu
276
1. Matendo ya Mungu yapita ‘fahamu, ni nani ayaona wazi? Lakini najua mapito ya Mungu kwa mimi yafaa halisi.
2.Njiani sijui maana ya yote, lakini...
277. NITAOGOPA nini gizani duniani
277
1. Nitaogopa nini gizani duniani? Sikuachiwa peke’ mbali ya tumaini! Mwokozi yu karibu, asiyebadilika.
:/: Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika:/:
Pambio:
Namshukuru...
278. NINAINUA macho yangu ka Mungu
278
1. Ninainua macho yangu kwa Mungu aketiye juu, aliye msaada wangu, njiani pangu nuru kuu. Aliyefanya yote, maombi huyasikia. Katika njia zangu zote atanilinda...
279. UPENDO wake Mungu unatuunganisha
279
1. Upendo wake Mungu unatuunganisha. ‘Shirika wa watakatifu – uheri wa mbinguni.
2. Katika sala zetu twakaribia Baba kwa tumaini, ujasiri...
280. JINA lake Yesu linadumu
280
1. Jina lake Yesu Kristo linadumu siku zote; jina hili la milele haliwezi kunyauka; linafaa watu wote, na wazee na vijana; linaweza kuongoza kila mtu kwake Mungu....
281. YOTE ninayo niliyapokea kwa wema wake
281
1. Yote ninayo niliyapokea kwa wema wake unaonea. Namsifu Yesu, namtegemea, aliniokoa kwa neema.
Pambio:
Niliyekuwa nimetoroka, kwa pendo lake nimeokoka....
282 UKIONA kiu sana ujalivu
282
1. Ukiona kiu sana ujalivu wa Mwokozi, roho yake safi pia, liamini neno la babako na atakujazi, nawe utashangilia.
Pambio:
Atakujaliza hata utashiba. Bwana...
283. NIMEYASIKIA mengi aliyoyafanya Yesu
283
1. Nimeyasikia mengi aliyoyafanya Yesu katika maisha yake huku chini: Pote alitenda mema, alisaidia wote. Kwa furaha ninaimba: “Yesu yeye yule leo!”...
284. USIMTAFUTE Yesu kati’wafu kaburini
284
1. Usimtafute Yesu kati’ wafu kaburini! Yu mzima, tumsifu, hakushindwa na kuzimu!
:/: Yesu hai, Yesu hai, mshindaji wa mauti! :/:
2. Maadui walifunga...
285. NENO la Mungu ndani ya Biblia
285
1. Neno la Mungu ndani ya Biblia limetolewa na Mwenyezi Mungu. Biblia yetu inatuambia: Njoo kwa Yesu, Mkombozi wetu!
Pambio:
Neno la Mungu tulilolipewa, njia...
286. YESU ulikaribishwa arusini
286
1. Yesu, ulikaribishwa arusini huko Kana; hapo ikadhihirishwa nguvu yako kwa ishara.
2. Leo tunakuhitaji, wabariki ndugu hawa: Bwana na bibi-arusi! Ndoa...
288. MUNGU wetu
288
1. Mungu wetu, utulinde na utubariki sote! Bwana, uturehemie, tutolee nuru pote! Utuangazie uso, tupe na amani yako! Mungu Baba, Roho, Mwana, tunakushukuru sana!...
289. NINATAMANI kwenda mbingu
289
1. Ninatamani kwenda mbingu nchi yangu niliyopewa na Mungu kwa imani. Ni shangwe bora kuona mji ule; kwa kwenda kule sitaogopa kitu.
Pambio:
E’ Baba yangu,...


