0
64 KIMYA E’moyo wangu
64
1. Kimya, e’moyo wangu, mbele za Bwana Yesu! Unahitaji sana ‘kaa daima kwake. Njia salama ipi ulimwenguni huku bila kumfuata Yesu na neno lake?
Pambio:
Uniongoze,...
65 HUKO ju’ ya nyota zote kuna chi yenye mema
65
1. Huko ju’ ya nyota zote kuna nchi yenye mema, Mji wake ni Yerusalemu; Dhambi haitakuwamo, wala kufa na huzuni, Kwake yesu nitapata kao.
Pambio:
Sikitiko...
66 WAKRISTO wa nchi zote watakusanyika huko kwa Yesu
66
1. Wakristo wa nchi zote watakusanyika huko mbinguni kwa Yesu, mezani pake, kati’ ufalme wake; kuona uzuri wake, kujazwa neema yake. Wataimba huko ju’...
67 TUNAKARIBIA kao la mbinguni
67
1. Tunakaribia kao la mbinguni, hata jua likifichwa na mawingu. Tufuate Bwana Yesu siku zote, ni furaha yetu kumwandama yeye!
Pambio:
Tunakaribia mbingu kati’...
68 MBINGUNI kwa Mwokozi wangu mwema nitaamka asubuyi moja
68
1. Mbinguni kwa Mwkozi wangu mwema nitaamka asubuhi moja, Nitayaona majeraha yake, sauti yake nitaisikia.
2. Makao ya milele ni tayari, ali’waandalia...
69 JE, Tutaonana tena huko ng’ambo ya Yordani
69
1. Je, tutaonana tena huko ng’ambo ya Yordani, na pamoja na wakristo ‘ona raha ya milele?
Pambio:
Tuonane, tuonane huko ng’ambo ya bahari!...
70 KUNA mji uko juu
70
1. Kuna mji huko juu, umejengwa naye Mungu, humo kuna mto ‘moja wenye maji mazima kabisa.
Pambio:
Tutakusanyika huko kwa raha penye mto mwema sana, tutakusanyika...
71 NIMEKWISHA kuingia nchi nzuri ya ahadi
71
1.Nimekwisha kuingia nchi nzuri ya ahadi, nchi njema ya wokovu wake Mungu. Huko ni vijito vingi vya baraka na furaha, huko shida haifiki.
Pambio:
Nimekwisha...
72 MIMI mgeni katika dunia
72
1. Mimi ngeni katika dunia, ninasafiri kufika mbinguni. Hata ikiwa hatari njiani, nitaishinda pamoja na Mungu. Kama Ibrahimu majaribuni nita’vyoshinda kwa...
73 NAJUA njia moja ya ku’fikia mbingu
73
1.Najua njia moja yakufika mbinguni, ingawa ikipita katika majaribu, lakini iendako mjini huko juu, :/: Na njia hiyo Yesu. :/:
2.Najua na amani iliyo...
74 MGENI mimi hapa mahali pa ugeni
74
1. Mgeni mimi mahali pa ugeni, na kwenda mbali mno katika nchi nzuri. Na ni mjumbe huku kutoka Mungu wetu, nina habari ya Mfalme.
Pambio:
Habari yake nzuri sana,...
75 NILIE msafiri
75
1.Niliye msafiri, mgeni duniani; sioni kwangu hapa, ni huko ju’ mbinguni. Ninatamani nami kukaa siku zote pamoja naye Baba katika utukufu.
Pambio:
Kwangu...
76 MGENI mimi
76
1. Mgeni mimi, ninasafiri siku chache, siku chache huku chini. Msinipinge, niwafuate watakatifu walioshinda! Mgeni mimi, ninasafiri siku chache, siku chache huku...
77 NAIFUATA njia ya ku’fikia mbingu
77
1. Naifuata njia ya kufikia mbingu na mji mwema ule alio’jenga Mungu. Ninasafiri sasa kutoka duniani nifikie nchi hiyo ya raha na uzima.
Pambio:
Naifuata...
78 NINAUZIMA wa milele
78
1. Nina uzima wa milele, na tumaini ni imara, mbinguni nitaona Yesu, Mwokozi wangu kwa furaha.
2.Nina urithi bora huko unaolindwa hata mwisho. Na kila...
79 MAISHA mafupi yahuku dunia
79
1. Maisha ya mtu [mafupi] ya hapa dunia yanaifanana safari chomboni. Twapita bahari katika hatari, lakini Mwokozi anatuongoza.
Pambio:
Ikiwa Mwokozi anatuongoza...
80 ZITAKAPOTIMIA siku zahuduma yangu nitaona asubuhi ya uzima
80
1. Zitakapotimia siku za huduma yangu, nitaona asubuhi ya uzima. Huko juu mbinguni nitamwona Bwana Yesu, Na karibu yake nitaisikia.
Pambio:
Nitamtambua yeye,...
81 ALIPOKUFA Yesu ju’ ya musalaba
81
1. Alipokufa Yesu ju’ ya msalaba wake akaishinda dhambi na uwezo wa shetani. Aliniweka huru, niwe mbali na hatia; na tena atanichukua kwake.
Pambio:
Mbinguni...
82 NINAJUA chi nzuri
82
1. Ninajua nchi nzuri, huko Mungu alifanya nyumba na makao kwetu; natamani kufikako.
Pambio:
Mbinguni, kao la malaika! Mbinguni, vyote vinamulika! Mbinguni Mungu...
83 NINAJUA nchi uko juu
83
1. Ninajua nchi huko juu, hapo Mungu alijenga mji, na aita ‘moma moja kwake, waliomaliza mwendo huku.
Pambio:
Shida, kufa na huzuni hazitakuwapo huko....
84 NINAKUMBUKA sayuni
84
1. Ninakumbuka Sayuni, nchi ya heri mbinguni, bahari kama kioo na’furahia rohoni. Nyuma kimeta cha nuru Naona mji wa mbingu, nyimbo za nyumba ya Baba nasikiliza...
85 TWAPASHA habari ya mbinguni
85
1. Twapasha habari ya mbingu, mahali pa watu wa heri, na tunatamani ku’ona ufuko wa nchi ya mbingu.
Pambio:
Sikitiko, wala shida hazitakuwapo mbinguni....
86 TUTAONA furaha mbinguni
86
1. Tutaona furaha mbinguni, ni makao ya watu wa heri. Tutakuwa pamoja na Mungu na kusifu Mwokozi wetu.
Pambio:
Tutafurahi na tutaabudu huko juu kwake Mungu....
87 MWSHO wanjia ya Mungu ni mbingu
87
1. Mwisho wa njia ya mkristo ni mbinguni; Yesu ananiongoza salama. Kama shetani akinijaribu nakitazamia kifiko.
Pambio:
Kwetu mbinguni hatutatawanyika, dhambi...
88 MPONYI apitaye wote amefika hapa
88
1. Mponyi apitaye wote amefika hapa. Awaponyesha watu moyo. Yesu wa upendo.
Pambio:
Jina linalopita yote juu na chini pote pia, jina kubwa, jina jema: Yesu...


