0
89 NAJUA jina moja zuri
89
1. Najua jina moja zuri, lapita kila jina huku, lanipa raha na amani, na jina hilo Yesu.
Pambio:
Yesu, jina zuri mno! Yesu, unapenda wote, Yesu, tunalindwa...
90 YESU Yesu jina kubwa
90
1. Yesu, Yesu, jina kubwa, nyimbo zao malaika! :/: Limekuwa ndani yangu mto wa furaha bora:/:
2.Jina lake kama nyota, linanionyesha njia. :/: Katika jaribu,...
91 YESU jina ili njema lichukuwe siku zote!
91
1. Yesu, jina hili jema, lichukue siku zote! Lina raha na faraja, lichukue uendako!
Pambio:
Jina kubwa, jina zuri la matumaini yetu! Jina kubwa, jina zuri...
92 YESU! jina ili ninapita kila jina duniani pote
92
1. Yesu! Jina hili linapita kila jina duniani pote. Yesu, Yesu! Jina hilo ni marhamu iliyomiminwa.
Pambio:
Jina hili ni lenye nguvu ya kuondoa dhambi zangu zote....
93 SIKU chache
93
1. Siku chache, na tena wakristo watakwenda kumwona Mwokozi, siku chache na wataipewa thawabu na taji ya uzima.
Pambio:
Nangoja sana Bwana Yesu kama zamu angojavyo...
94 LO! nuru inapambazuka
94
1. Lo! Nuru inapambazuka, na vivuli vya usiku vyakimbia; unaulizwa: U tayari? Yesu yuaja upesi!
Pambio:
Na kama vile ‘pepo uvumavyo po pote, habari iendavyo...
95 NCHI nzuri yatungoja
95
1. Nchi nzuri yatungoja huko juu ya mawingu, watakapokusanyika wateule. Siku zina’tubakia zinapita mbio sana; waminifu watarithi nchi nzuri.
Pambio:
:/:...
96 MWOKOZI wetu aliahidi yakwamba atakuja siku moja kutupeleka
96
1. Mwokozi wetu aliahidi ya kwamba atakuja siku moja kutupeleka mbinguni kwake. Yawezekana upesi sana.
Pambio:
Sioni shida, nina amani kwa Mkombozi na damu yake,...
97 BADO kidogo juwa litapanda
97
1. Bado kidogo jua litapanda, siku tuta’pofika huko juu. Huko mbinguni tutapumzika na’pata raha na furaha ya milele.
Pambio:
Tutamlaki Bwana Yesu...
98 SIKU moja tutaona Utukufu wake Yesu
98
1. Siku moja tutaona utukufu wake Yesu, kama nuru ya umeme atakavyoonekana.
Pambio:
Uhubiri neno lake, kwa bidi’ mahali pote! Siku ni karibu sana; Bwana...
99 SIKU moja nitamuona Bwana Yesu
99
1. Siku moja nitamwona Bwana Yesu uso wake. Na milele kwa furaha nitaka’ karibu naye.
Pambio:
Nitamtazama Yesu ju’ ya nyota zote pia, huko kwa ukamilifu...
100 LO! Bendera inatwekwa
100
1. Lo! Bendera inatwekwa, yatutangulia! Tusione hofu, wenzi, twende kwa kushinda!
Pambio:
Bwana Yesu atakuja, tuilinde ngome! Kwa uwezo wake Yesu tutashinda...
101 E’MLINZI twauliza: ”Yesu atakuja lini?
101
1. E’ mlinzi, twauliza: Yesu atakuja lini? Asubuhi ya sayuni ni karibu? Tuambie! Msafiri, yainue macho yako, angalia! Asubuhi ni karibu, usimame, usimame!...
109 YESU unionye tena msalaba wako
109
1. Yesu, unionye tena msalaba wako! Huo ni kisima safi chenye kusafisha.
Pambio:
Msalaba wako, Yesu, nausifu sana. Yesu, unilinde huko hata nikuone!
2.Huko...
110 MWAMBA ulio pasuka
1. Mwamba uliopasuka, ndani yako nijifiche! Maji yale, damu ile itokayo mbavu zako, iwe dawa ya kuponya roho yangu na ubaya!
2. Kazi za mikono yangu, haziwezi...
111 E’YESU sitasahau uchungu wako ‘kubwa
111
1. E’ Yesu, sitausahau uchungu wako kubwa, ulipoteswa Gethsemane usiku peke yako.
Pambio:
Mateso uliyoyaona, uchungu na machozi, Usiku ule Gethsemane,...
112 ULINDE roho na nafsi yangu chini ya damu
112
1. Ulinde roho na nafsi yangu chini ya damu, chini ya damu! Makosa, hofu na shaka ziwe chini ya damu yako!
Pambio:
Chini ya damu yako, Yesu, ndani ya mto...
113 MSALABANI Mwokozi wangu alijitoa kuniokoa
113
1. Msalabani Mwokozi wangu alijitoa kuniokoa, na damu yake ilimwagika kwa’jili yangu, kunikomboa.
Pambio:
E’ Golgotha, e’ Golgotha, alipoteswa...


