0
164 IZRAELI wake Mungu
164
1. Israeli wake Mungu, kimya sana, wa’zunguka Yeriko kwa imani. Malaika wake aliwaongoza, na waliendelea kwa kushinda.
Pambio:
Twende kwa kushinda, twende...
165 NITAZAMAPO kwa imani
165
1. Nitazamapo kwa imani Mwokozi wangu, nafurahi, naona utajiri wake anao Mungu, Baba yangu. Haleluya! Furaha kubwa, aniongoza siku zote! Nikiuona udhaifu, anichukuwa...
166 TUKIENDA pamoja
166
1. Tukienda pamoja, tukishikamana na Mungu, tunapata amani na raha; tukifanya daima yanayompendeza, yu karibu kutusaidia.
Pambio:
Raha, furaha twazipata kwa...
167 NINAJUA Rafiki mwema
167
1. Ninajua rafiki mwema, anitunza sana kila siku. Ayaponya majeraha na machozi ayafuta. Jina lake ni Yesu Kristo.
Pambio:
Najua rafiki mwema, na yeye ajaa...
168 NINA mshirika nafuraha kubwa
168
1. Nina ushirika na furaha kubwa, namtegemea Bwana Yesu. Wingi wa uheri kwa waaminio: Kustarehe mikononi mwake!
Pambio:
Raha, raha, raha kwa Yesu na amani!...
169 ASKARI wa imani sisi
169
1. Askari wa imani sisi, kwa shangwe tunaendelea, hata vita ‘kiwa kali tuna nguvu na ‘hodari. Tuna upanga wa imani, ni neno lake Mungu wetu; na kwa...
170 NIKIONA shida huku katika safari
170
1. Nikiona shida huku katika safari, Yesu aninong’oneza neno la faraja. Ananipa raha tele na furaha ya ajabu. Ninaandamana naye sasa na milele.
2....
171 MWENYEZI Mungu ngome kuu
171
1. Mwenyezi Mungu ngome kuu, silaha ya imara! Katika shida na huzuni twategemea yeye. Mwovu akitukaribia kututia woga, akijithibitisha kwa hila na jeuri, tusimwogope...
172 SISI tu viungo vya mwili’ moja
172
1. Sisi tu viungo vya mwili ‘moja, tunasaidiana. Utumishi wetu tunaupenda na twasaidiana. Twasaidiana sote, twasaidiana sote. Twamaliza kwa shangilio na...
173 MAISHA katika dunia
173
1. Maisha katika dunia ni kama kupanda na ‘vuna: Apandaye katika mwili atavuna uharibifu; tukitumikia Mwokozi tutapata thawabu mbinguni; yafaa kuishi na...
174 PENDO kubwa la Babangu linang’aa siku zote
174
1. Pendo kubwa la babangu linag’aa sikuzote, walakini anataka sisi tuwe nuru huku!
Pambio:
Nuru yetu iangae mbele ya wenzetu huku, hata mtu ‘moja...
175 SHAMBA la Mungu limeiva
175
1. Shamba la Mungu limeiva, litayari sasa kuvunwa. Wavunaji mfike mbio kuyavuna mavuno yake!
Pambio:
Bwana Yesu, twakuomba, uwatume watenda kazi wakusanye miganda...
176 MUNGU akutaka kati’ shamba lake
176
1. Mungu akutaka kati’ shamba lake, nenda na wengine kumtumikia! Ujitowe kweli kwake Mungu wetu! Uhubiri neno lake pande zote!
2. Ukumbuke Yesu,...
177 NIPE habari ya Yesu
177
1. Nipe habari ya Yesu, uiandike rohoni! Uniimbie zaburi ya kumsifu Mwokozi, sifa iliyotangazwa na malaika zamani: Mungu wa ju’ atukuzwe, iwe amani duniani!...
178 YESU kutoka mbinguni aliingia huku nchi
178
1. Yesu kutoka mbinguni aliingia huku chini ya giza na dhambi, ili atuokoe.
Pambio:
Nenda, nenda! Fanya mapenzi ya Yesu! Omba kupata sehemu kati’ ya mavuno...
179 SIKU moja mavuno yataisha kabisa
179
1. Siku moja mavuno yataisha kabisa, baada ya hayo hukumu.
Jua litazimika siku hiyo ya mwisho, na hutasikia injili
Refrain:
Atakusanya ngano kwa furaha ghalani...
180 BWANA Yesu anatuuliza: ”Nimtume nani mavunoni?”
180
1. Bwana Yesu anatuuliza: “Nimtume nani mavunoni? Watu wenye dhambi wapotea, watolee Neno la neema! ”
Pambio:
“Mungu wangu, sema nami! Uniguze...
181 TUTAZAME kule mbele
181
1. Tutazame kule mbele, asubuhi inakuja! Tuamini Mungu wetu, atafanya kazi yake, kufukuza mashetani, kumiliki nchi yote. Tutashinda tukiomba, Mungu anatusikia....
182 KISA cha kale nipe
182
1. Kisa cha kale nipe, habari ya mbinguni, ya Bwana Mtukufu, ya pendo lake Yesu! Niambie neno lake, nipate kusikia, mnyonge mimi huku, mjinga, mkosaji. Kisa...
183 PANDA mbegu njema
183
1. Panda mbegu njema, anza asubuhi, na uwaokoe watu wa shetani! Kwa wakati wake vuno litaivya, chumo utapata kwa furaha kuu.
Pambio:
:/: Twende tukavune,...
184 NITAKWENDA mahali pa giza
184
1. Nitakwenda mahali pa giza na dhambi kuhubiri Injili ya nuru, ili watu wasiosikia habari wafahamu upendo wa Yesu.
Pambio:
Nitakwenda mahali pa giza na dhambi,...
185 NEHEMA kubwa ya Mungu wetu
185
1. Neema kubwa ya Mungu wetu: Alikutuma kwa kazi yake kwenda kuzipanda mbegu njema katika roho za wenzako!
Pambio:
Nenda, E’ mvunaji, nenda, e’mvunaji!...
186 FANYIA Mungu kazi
186
1. Fanyia Mungu kazi, mbio usiku waja! Mtumikie Mungu siku zako zote! Anza mapema sana, dumu mchana kutwa! Mbio usiku waja, kazi itakwisha.
2. Fanyia...
187 TUWAVUNAJI wake Mungu
187
1. Tu wavunaji wake Mungu, kwa neno lake tunakwenda kuvuna ngano zake Yesu alizojinunulia. Kwa shangwe tunaliingiza ghalani mwake vuno lake. Tunamsifu Yesu...
188 WENGI wakasema: ‘Bado’
188
1. Wengi wakasema: “Bado”, walipoitwa na Mwokozi, lakini tena wakaona wamechelewa kuokoka.
Pambio:
Njoo mbio, njoo mbio, Yesu akuita leo! Njoo...


