0
16 YO YOTE uonayo huku katika mwendo wako
16
1. YO yote uonayo huku katika mwendo wako, Yafaa kumwambiya Yesu atakusaidia.
Refrain:
:/: Kwa kuwa kila aombaye Mwokozi ne’ma yake, ataokoka na hatia, na atasifu...
28 NINATAKA kufuata wewe
28
1. Ninataka kufuata wewe, Yesu, siku zote, ‘kiwa katika furaha au shida na udhia. Unaponitangulia ninakuja nyuma mbio. Ninajua ni karibu Kuwasili huko...
29 UNIVUTE Yesu
29
1. Univute, Yesu, nifuate nyayo zako, ‘kiwa kwa rafiki au katika wageni, na mahali pa furaha au sikitiko; sina budi kumkaribia Yesu.
Pambio:
Nimfuate,...
31 KATIKA safari yetu kwenda huko juu tusilale usingizi
31
1. Katika safari yetu kwenda huko juu tusilale usingizi, tuwe na bidii!
Pambio:
Kaza mwendo tusifungwe, twende mbio tu! Yesu Kristo ni Mwokozi na Mfalme ‘kuu!
2....
33 HURU kama ndege bustanini
33
1. Huru kama ndege bustanini, sasa nafurahi kwa sababu Yesu ni rafiki yangu ‘kubwa; nina amani siku zote.
2. Aliniokoa na mashaka, alinipa tunu ya rehema....
35 NIMEFIKA kwake Yesu
35
1. Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa, jua lake la neema linang’aa kila siku.
Pambio:
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli. Nimekaribia Yesu,...
39 YESU ameingia katika roho yangu
39
1. Yesu ameingia katika roho yangu, amenifungulia kamba za dhambi zangu. Tena amenijaza Roho Mtakatifu. Ninamsifu sasa kwa wimbo mpya.
Pambio:
Yesu ni yote kwangu,...
44 Tu watu huru
44
1. Tu watu huru, huru kweli katika Yesu Kristo. Tunahubiri neno lake kwa moto ‘takatifu. Tuendelee, mbele, mbele, tukashinde majaribu! Twapiga vita ya imani,...
45 WAIZRAELI walika’ Babeli utumwani
45
1. Waisraeli walika’ Babeli utumwani, wakawa na huzuni tu kwa ‘jili ya sayuni.
Pambio
Hapo amri ilifika waliweza kuondoka, shangwe gani mioyoni mwao!...
47 NIKIONA udhaifu na imani haba
47
1. Nikiona udhaifu na imani haba, nikijaribiwa sana, Yesu anilinda.
Pambio:
Anilinda vema, anilinda vema, kwani Yesu anipenda, anilinda vema.
2. Peke...
49 NJIA yote naongozwa kwa mkono wa Mwokozi
49
1. Njia yote naongozwa kwa mkono wa Mwokozi, ninapo wema wake, sina shaka, hofu tena. Nina raha ya mbinguni, ninakaa kwa salama. :/: Na katika mambo yote ananitendea...
51 NAONA amani Golghota alipo jitoa Mwokozi
51
1. Naona amani Golgotha alipojitoa Mwokozi,
:/:Na huko nina kimbilio kwa Yesu aliyejitoa.:/:
2. Sitaki ‘tamani fahari na dhambi katika dunia,
:/:...
58 UNIPE raha tele kama mto
58
1. Unipe raha tele kama mto, nipite jangwa huku kwa furaha; unipe imani tena, Yesu, ningoje siku yako kwa bidii!
2. Kwa siku chache ninaona shida, dhoruba...
67 TUNAKARIBIA kao la mbinguni
67
1. Tunakaribia kao la mbinguni, hata jua likifichwa na mawingu. Tufuate Bwana Yesu siku zote, ni furaha yetu kumwandama yeye!
Pambio:
Tunakaribia mbingu kati’...
71 NIMEKWISHA kuingia nchi nzuri ya ahadi
71
1.Nimekwisha kuingia nchi nzuri ya ahadi, nchi njema ya wokovu wake Mungu. Huko ni vijito vingi vya baraka na furaha, huko shida haifiki.
Pambio:
Nimekwisha...
72 MIMI mgeni katika dunia
72
1. Mimi ngeni katika dunia, ninasafiri kufika mbinguni. Hata ikiwa hatari njiani, nitaishinda pamoja na Mungu. Kama Ibrahimu majaribuni nita’vyoshinda kwa...
76 MGENI mimi
76
1. Mgeni mimi, ninasafiri siku chache, siku chache huku chini. Msinipinge, niwafuate watakatifu walioshinda! Mgeni mimi, ninasafiri siku chache, siku chache huku...
79 MAISHA mafupi yahuku dunia
79
1. Maisha ya mtu [mafupi] ya hapa dunia yanaifanana safari chomboni. Twapita bahari katika hatari, lakini Mwokozi anatuongoza.
Pambio:
Ikiwa Mwokozi anatuongoza...
81 ALIPOKUFA Yesu ju’ ya musalaba
81
1. Alipokufa Yesu ju’ ya msalaba wake akaishinda dhambi na uwezo wa shetani. Aliniweka huru, niwe mbali na hatia; na tena atanichukua kwake.
Pambio:
Mbinguni...
139 NINAFURAHA kubwa
1. Nina furaha kubwa, napumzika sana, kwa kuwa nimefika kwa Mungu, Baba yangu. Ameniweka huru na mbali na utumwa, na sasa nakaa salama.
2. Zamani nilidhani...
141 MWOKOZI wetu anatupa furaha duniani
1. Mwokozi wetu anatupa furaha duniani, atuongoza kwa neema na anatushibisha.
Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe !
Haleluya, haleluya, haleluya...
146 KARIBU nawengu nilipotea njia
1. Karibu na wenzangu nilipotea njia, rohoni mwangu njaa, na sikuona raha, lakini sasa Yesu ni Mchungaji wangu, naandamana naye siku zote.
2. Katika shamba...
157 HAIDURU kwangu uku chini
157
1. Haidhuru kwangu huku chini utajiri au umaskini, ila Bwana Yesu awe nami; ninatunzwa naye siku zote.
2. Haidhuru kama ninakuta shida nyingi katika...
159 NASIKIA Bwana Yesu aniita ku’fuata
159
1. Nasikia Bwana Yesu aniita ku’fuata. Aliponitangulia nifuate yeye njia yote!
Pambio:
Nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate...
165 NITAZAMAPO kwa imani
165
1. Nitazamapo kwa imani Mwokozi wangu, nafurahi, naona utajiri wake anao Mungu, Baba yangu. Haleluya! Furaha kubwa, aniongoza siku zote! Nikiuona udhaifu, anichukuwa...