1
79 MAISHA mafupi yahuku dunia
79
1. Maisha ya mtu [mafupi] ya hapa dunia yanaifanana safari chomboni. Twapita bahari katika hatari, lakini Mwokozi anatuongoza.
Pambio:
Ikiwa Mwokozi anatuongoza...
140 UKICHUKULIWA na mashaka yako
1. Ukichukuliwa na mashaka yako na kuona hufu kwamba utakwama, uhesabu mibaraka yake Mungu, na utashangaa kwa rehema yake.
Pambio:Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki!...
173 MAISHA katika dunia
173
1. Maisha katika dunia ni kama kupanda na ‘vuna: Apandaye katika mwili atavuna uharibifu; tukitumikia Mwokozi tutapata thawabu mbinguni; yafaa kuishi na...
186 FANYIA Mungu kazi
186
1. Fanyia Mungu kazi, mbio usiku waja! Mtumikie Mungu siku zako zote! Anza mapema sana, dumu mchana kutwa! Mbio usiku waja, kazi itakwisha.
2. Fanyia...
238 NIFANANISHWE nawe mwokozi
238
1. Nifananishwe nawe Mwokozi, ni haja yangu iliyo kuu. Ninakuomba, na kwa machozi, nikufuate, Bwana wa juu!
Pambio:
Nifananishwe nawe Mwokozi, mwenye upendo,...
276. MATENDO ya Mungu yapita fahamu
276
1. Matendo ya Mungu yapita ‘fahamu, ni nani ayaona wazi? Lakini najua mapito ya Mungu kwa mimi yafaa halisi.
2.Njiani sijui maana ya yote, lakini...
291. MIMI mwenye hatiya nilikombolewa
291
1. Mimi mwenye hatia nilikombolewa, Mwokozi alipojitoa. Dhambi zangu na zako alizichukua, kwa damu aliniokoa.
Pambio:
Dhambi zimetundikwa msalabani alipojitoa,...