0
39 YESU ameingia katika roho yangu
39
1. Yesu ameingia katika roho yangu, amenifungulia kamba za dhambi zangu. Tena amenijaza Roho Mtakatifu. Ninamsifu sasa kwa wimbo mpya.
Pambio:
Yesu ni yote kwangu,...
40 AMENIWEKA huru kweli
40
1. Ameniwaka huru kweli, naimba sasa: Haleluya! Kwa msalaba nimepata kutoka katika utumwa.
Pambio:
Nimeokoka, nafurahi! Na dhambi zangu zimetoka. Nataka kumtumikia...
41 SIKU nyingi nilifanya dhambi
41
1. Siku nyingi nilifanya dhambi, sikujua Neno la Mwokozi, sikujua maumivu yake kwa ‘jili yangu.
Pambio:
Bwana Yesu alinirehemu, dhambi zangu alizichukua....
42 BWANA Yesu amevunja minyororo ya maovu
42
1. Siku nyingi nilifanya dhambi, sikujua Neno la Mwokozi, sikujua maumivu yake kwa ‘jili yangu.
Pambio:
Bwana Yesu alinirehemu, dhambi zangu alizichukua....
43 JUU ya mwamba umejenga kanisa lako duniani
43
1. Juu ya mwamba umejenga kanisa lako duniani, umeliweka huru kweli katika damu yako, Yesu.
Pambio:
Juu ya mwamba, juu ya mwamba huru na safi umelijenga. Juu...
44 Tu watu huru
44
1. Tu watu huru, huru kweli katika Yesu Kristo. Tunahubiri neno lake kwa moto ‘takatifu. Tuendelee, mbele, mbele, tukashinde majaribu! Twapiga vita ya imani,...
45 WAIZRAELI walika’ Babeli utumwani
45
1. Waisraeli walika’ Babeli utumwani, wakawa na huzuni tu kwa ‘jili ya sayuni.
Pambio
Hapo amri ilifika waliweza kuondoka, shangwe gani mioyoni mwao!...
46 HAIFAI kuyasumbukia mambo yatakayokua kesho
46
1. Haifai kuyasumbukia mambo yatakayokuwa kesho. Baba yangu anajua yote, ni vizuri nikumbuke hivyo. Yeye mwenye moyo wa upendo ananipa yafaayo kweli, kama sikitiko...
47 NIKIONA udhaifu na imani haba
47
1. Nikiona udhaifu na imani haba, nikijaribiwa sana, Yesu anilinda.
Pambio:
Anilinda vema, anilinda vema, kwani Yesu anipenda, anilinda vema.
2. Peke...
48 SIWEZI mimi kufahamu sana neema yake Mungu kwangu
48
1. Siwezi mimi kufaamu sana neema yake Mungu kwangu, zamani nilikuwa mkosaji, lakini alinisamehe.
Pambio:
Bali namjua Mungu, anayeweza kunilindia urithi wangu...
49 NJIA yote naongozwa kwa mkono wa Mwokozi
49
1. Njia yote naongozwa kwa mkono wa Mwokozi, ninapo wema wake, sina shaka, hofu tena. Nina raha ya mbinguni, ninakaa kwa salama. :/: Na katika mambo yote ananitendea...
50 SITASUMBUKA kwa kuwa Mungu ananitunza daima √√
50
Sitasumbuka kwa kuwa mungu ananitunza daima, anachukua mizigo yangu nyakati zote za mwendo.
Refrain:Sijaiona nyingine siku jana imetoweka na leo mungu anazijua...
51 NAONA amani Golghota alipo jitoa Mwokozi
51
1. Naona amani Golgotha alipojitoa Mwokozi,
:/:Na huko nina kimbilio kwa Yesu aliyejitoa.:/:
2. Sitaki ‘tamani fahari na dhambi katika dunia,
:/:...
52 KWASALAMA baba awalinda watu wake
52
1. Kwa salama Baba Mungu awalinda watu wake, hata nyota za mbinguni si salama kama wao.
2. Mungu awalinda hivyo katika upendo wake. Wanakumbatiwa naye, wanarehemiwa...
53 KATI’ mikono yake Yesu ananilinda katika pendo
53
1. Kati’ mikono yake Yesu ananilinda. Katika pendo kubwa ninapumzika sana. Sasa sauti nzuri itokeayo juu inanikumbukia mbingu na raha yake.
Pambio:
Kati’...
54 USIOGOPE mateso yako
54
1. Usiogope mateso yako, Mungu anakulinda, bali tazama mapenzi yake,
Pambio:
Mungu anakulinda Mungu anakulinda siku kwa siku njiani mwake. Anakulinda salama....
56 YESU ninakutolea vyote
56
1. Yesu, ninakutolea vyote ninakuwa navyo, nikupende, nifuate wewe siku zote hapa!
Pambio:
Ninakupa vyote, ninakupa vyote, Bwana Yesu upendwaye, ninakupa vyote....
57 YESU uliye kufa kwa ajili yangu
57
1. Yesu, uliyekufa kwa ajili yangu, ninajitoa kwako, niwe mali yako! Bwana, nivute kwako, nifaamishe pendo, niwe dhabihu hai katika shukrani!
2. Yesu,...
58 UNIPE raha tele kama mto
58
1. Unipe raha tele kama mto, nipite jangwa huku kwa furaha; unipe imani tena, Yesu, ningoje siku yako kwa bidii!
2. Kwa siku chache ninaona shida, dhoruba...
59 YESU ninakutolea moyo na maisha yangu
59
1. Yesu, ninakutolea, moyo na maisha yangu, niwe mfuasi wako, Safi na mtakatifu.
Pambio:
:/: Mungu wangu, Mungu wangu, nitakase saa hii! :/:
2. E’...
60 NIHERI kuona ndugu njiani pa kwenda mbinguni
60
1. Ni heri kuonga ndugu njiani pa kwenda mbingu. Tukinyong’onyea sana kwa kuwa tu peke yetu, kushirikiana kwa ndugu kunaturudisha moyo, na Mungu atupa nguvu...
61 ENYI wetu wa Sayuni
61
1. Enyi watu wa Sayuni, kundi dogo la Mwokozi, Yesu aliwanunua kuwa mali yake Mungu. Sasa mnapita njia ya miiba na hatari kati’ nchi ya ugeni; bali mbingu...
62 MUNGU nivute kwako
62
1. Mungu, nivute kwako, karibu kwako, hata ikiwa shida ikinisukuma! Katika yote hapa ‘takuwa wimbo wangu: Mungu, nivute kwako, karibu kwako.
2....
63 YESU nivute karibu nawe
63
1. Yesu, nivute karibu nawe, ‘kiwa kwa shida, ikiwa kwa raha! Uliyekufa msalabani, :/: ‘nifaamishe upendo na ne’ma! :/:
2. Yesu, nivute,...


