0
139 NINAFURAHA kubwa
1. Nina furaha kubwa, napumzika sana, kwa kuwa nimefika kwa Mungu, Baba yangu. Ameniweka huru na mbali na utumwa, na sasa nakaa salama.
2. Zamani nilidhani...
140 UKICHUKULIWA na mashaka yako
1. Ukichukuliwa na mashaka yako na kuona hufu kwamba utakwama, uhesabu mibaraka yake Mungu, na utashangaa kwa rehema yake.
Pambio:Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki!...
141 MWOKOZI wetu anatupa furaha duniani
1. Mwokozi wetu anatupa furaha duniani, atuongoza kwa neema na anatushibisha.
Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe !
Haleluya, haleluya, haleluya...
142 KWANAMNA nyingi nilitafuta kupata raha moyoni mwangu
1. Kwa namna nyingi nilitafuta kupata raha moyoni mwangu. Unyonge wangu haukukoma ila kwa Bwana Yesu.
2. Na moyo wenye hatia nyingi nilimwendea Mwokozi wangu,...
143 HERI alisi
1. Heri halisi, Yesu ni wangu! Yeye mchunga, mimi ni wake. Heri yakini, yote ni heri, roho na moyo zimeokoka.
Pambio:
Yesu ni wimbo na raha yangu, nitamsifu hata...
144 SAWA na kisima safi
1.Sawa na kisima safi, chenye maji mengi, mema, ni upendo wa Mwokozi ukaao ndani yake.
Pambio:
Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni ili niingie humo kwa neema...
145 MUNGU wangu mkuu
1. Mungu wangu mkuu, wanijaza mwenyewe, na uzima u katika wewe. Nina raha moyoni na amani halisi, ninaishi katika upendo.
2. Sasa ninakusifu wewe, Yesu Mwokozi,...
146 KARIBU nawengu nilipotea njia
1. Karibu na wenzangu nilipotea njia, rohoni mwangu njaa, na sikuona raha, lakini sasa Yesu ni Mchungaji wangu, naandamana naye siku zote.
2. Katika shamba...
147 MWENYEZI Mungu wazamani
1. Mwenyezi Mungu wa zamani zote ni kimbilio la vizazi vyote. Katika vita anawashindia na ku’okoa watu wake wote.
Pambio
Mfalme ‘kubwa ndiye Mungu,...
148 NGUVU ile ilishuka juu’ya wanafunzi
1. Nguvu ile ilishuka ju’ ya wanafunzi wote mjini mwa Yerusalem’ siku ya Pentekoste, lo! Nguvu hiyo ya Mwokozi ni sawa leo; shukuru Mungu!
:/: Karama,...
149 UZIMA ninao moyoni daima
1. Uzima ninao moyoni daima, uzima ni Yesu Mwokozi, aliyeingia rohoni hakika, akanitilia ‘hodari.
Pambio:
Nashiba rohoni kwa raha ya Mungu, na moto wa mbingu...
150 NATAKA kupokea baraka yake Mungu
1. Nataka kupokea baraka yake Mungu, nataka kubatizwa kwa Roho ‘takatifu. Ju’ ya ahadi yake napumzika sana, aliahidi mimi kupata Roho yake.
Pambio:
...
151 MWOKOZI moto safi
151
1. Mwokozi, moto safi, tunataka moto wako juu yetu! Twaomba kwako leo, Mungu: Washa moto ndani yetu, washa moto! Tazama sisi hapa leo, na tupe Roho yako, Mungu!...
152 YESU alipolala kati’ kaburi
152
1. Yesu alipolala kati’ kaburi, giza ilifunika Yesu Mwokozi.
Pambio:
Alifufuka hakika, akavunja nguvu ya mauti, mshindaji ju’ ya mamlaka yote; ni...
153 YESU CHRISTO alifufuka
153
1. Yesu Kristo alifufuka, akatoka kaburini. Furahini na msifuni, kwani alishinda kufa!
Pambio:
Habari njema: Alifufuka katika wafu! Yesu yu hai, naye atakuja...
154 E’RAFIKI shaka zako zipeleke kwake Yesu
154
1. E’rafiki, shaka zako zipeleke kwake yesu!
Aliyemwamini yey hataona haya kamwe.
Refrain:
Naamini, naamini, ninakuamini, yesu. Naamini, naamini, naamini...
155 KATIKA matumaini kwa Mungu wangu nakaa katika raha na utulivu
155
1. Katika matumaini kwa Mungu wangu nakaa katika raha na utulivu. Na yeye ni mwamba wangu, imara sana; katika dhoruba zote ananilinda.
2. Mwenyezi ni...
156 WALIAMINIO neno lake Mungu watapata nguvu kuwa washindaji
156
1. Waliaminio neno lake Mungu watapata nguvu kuwa washindaji, kwani Bwana Yesu alituahidi atathibitisha neno kwa ishara.
Pambio:
Shinda, shinda, nguvu ya kushinda!...
157 HAIDURU kwangu uku chini
157
1. Haidhuru kwangu huku chini utajiri au umaskini, ila Bwana Yesu awe nami; ninatunzwa naye siku zote.
2. Haidhuru kama ninakuta shida nyingi katika...
158 HERI mtu anayeamini Mungu baba
158
1. Heri mtu anayeamini Mungu Baba na Yesu Mwokozi! Heri mtu aifuataye njia nzuri ‘endayo mbinguni!
Pambio:
Usifiwe, Yesu Kristo! U Mwokozi mzuri kabisa!...
159 NASIKIA Bwana Yesu aniita ku’fuata
159
1. Nasikia Bwana Yesu aniita ku’fuata. Aliponitangulia nifuate yeye njia yote!
Pambio:
Nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate...
160 AHADI zote za Mungu wetu zanasimama hata milele
160
1. Ahadi zote za Mungu wetu zinasimama hata milele. Milima yote ikianguka, ahadi hazipunguki.
Pambio:
Ahadi zake zinasimama, hazipinduki hata milele. Ikiwa...
161 UMESHIRIKIANA naye Yesu? kama tawi ndani yake mzabibu?
161
1. Umeshirikiana naye Yesu kama tawi ndani yake mzabibu? Una raha iliyo timilifu, umejazwa Roho yake ‘takatifu?
Pambio:
Umeshirikiana naye Yesu kama tawi...
162 Bwana Yesu
162
1. Bwana Yesu, uwe nami, bila wewe nina hofu, unikaribie sana, uwe kiongozi wangu!
Pambio:
Sitaona hofu tena, Yesu Kristo yu karibu. Ninataka kufuata njia...
163 AHADI zote za Mungu zinasimama kweli
163
1. Ahadi zote za Mungu zinasimama kweli, na zilitiwa muhuri kwa damu yake Yesu.
Pambio:
Mbingu zikiondoka, nchi ikitoweka, ‘aminiye ‘taona: Ahadi...


